Kwa wanawake wote mliofunga PM

Kichwa Kichafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2017
Posts
44,855
Reaction score
189,385
Napenda kuwapongeza mmekuwa selection yangu ya kwanza hapa Jf.

Kwa muda wote toka nipo Jf sijawahi kuangukia pm iliyowazi.

Kuna watu huwa natamani tuzungumze nje na huku jukwaani ila kila nikijaribu kuzama pm nakuta mlango umefugwa.

Selection yangu yote inaangukia lock za pm.

Kwa kweli wote mliofunga pm nawapa pongezi maana mimi ni moja ya fan wenu mkubwa humu Jf.

List ni ndefu niliyoifanyia utafiti huu kuzama pm zao na kukutana na lock.

Nawasilisha


Kichwa Kichafu.
 
Sasa nasikia kuna wanaume nao wamefunga PM! Najiuliza nao wanaogopa kutongozwa? Wanatongozwa sana? Wanapigwa mizinga sana? Akili yangu inaniambia ni attention seekers tu
 
Duuu hivi kwa akili ya kawaida unaweza kumzimikia so called dada wa JF kwa kuangalia Avatar? Hivi ushawahi panda kwenye daladala za posta mwenge? Kama unataka demu pendelea kupanda magari hayo utaopoa wa ukweli achana na hawa wa kwenye avatar unaweza kukutana na POLYGON.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…