Kwa wanawake

Kwa wanawake

BUMIJA

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2011
Posts
5,950
Reaction score
11,295
Habari wanawake wa kibongo,imekua nikituma nyuzi kumsaka mrembo humu nakatishwa tamaa na wanaume kua nimepotea,ila naamini sijapotea kina dada warembo.mimi nina miaka 27 na napenda kua na mwanamke ambaye ni mweupe na awe na hips za kiaina ama black amerika,awe na age kuanzia 20hadi27.Nikimpata namuahidi penzi la dhati na nitakua tayari kwa lolote jema.me ni mrefu,baunsa kiaina,nina kilo98.awasiline na mimi kwa pm.Asanteni warembo.
 
so whats your suggestion,
 
i want a girl,to bless me with her beauty,i call her lover and she call me hus band,life start some where
 
karibu mpenzi nikupe joto la dhati
 
Habari wanawake wa kibongo,imekua nikituma nyuzi kumsaka mrembo humu nakatishwa tamaa na wanaume kua nimepotea,ila naamini sijapotea kina dada warembo.mimi nina miaka 27 na napenda kua na mwanamke ambaye ni mweupe na awe na hips za kiaina ama black amerika,awe na age kuanzia 20hadi27.Nikimpata namuahidi penzi la dhati na nitakua tayari kwa lolote jema.me ni mrefu,baunsa kiaina,nina kilo98.awasiline na mimi kwa pm.Asanteni warembo.

Be careful kuna hips za kichina ndugu.
 
Back
Top Bottom