Kwa Wanoweza Kusakata Dance Mitindo ya Chacha,Rumba,Sasa,Msondo [Ndani ya Ukumbi wa Russia]

DSN

JF-Expert Member
Joined
Feb 2, 2011
Posts
2,837
Reaction score
1,679
Kituo cha ITV kimeanzisha mashindano ya kucheza Dansi [Dance] mitindo mbalimbali kama Msondo,Chacha,Rumba,Sasa,Pachanga nk.Mashindano hayo yanafanyika ndani ya ukumbi wa Russia.

Jaribu nafasi yako kasakate Rumba uwenda ukawa bingwa wa mangoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…