Hovering
JF-Expert Member
- Apr 3, 2018
- 275
- 912
Salaam wadau,
Kwa tuliosoma tangazo la nafasi za kazi Tanapa na kulielewa vizuri.
Tafadhali nitofautishie tofauti kati ya post 14 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT na post 90 za WILDLIFE LAW ENFORCEMENT (rangers).
Labda tuanzie hapa, Je wote wanatakiwa kuwa na cheti cha Jkt? Inaongeza advantage?
Je hakuna utaratibu mwingine wa kufanya maombi kwa vijana waliopo katika vikosi vya Jkt wenye sifa ( Op Samia na Op General Venance Mabeyo) Hasa kwenye hizi posts 90 Mbali na ajira portal ?
Ahsante kwa mchango wako.
.