Kwa wapare na wanaojua Kipare- Bonge la wimbo kutoka baba na mama Dhao

Kwa wapare na wanaojua Kipare- Bonge la wimbo kutoka baba na mama Dhao

Filipo Lubua

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2011
Posts
339
Reaction score
578
Yule mtaalamu wa Enzi zile aloimba "Ni thithi baba dhao, pia mama dhao tulio hapa" ametoka na kitu kingine kipya na cha viwango. Anasema Kinyongo Kihuja, nicho chela mbeu"
Wewe sikiliza mwenyewe ili nisije nikaongeza chumvi:

Kinyongo Kihuja by Eliraha - HulkShare
 
asante mkuu kwa hilo songi ila wewe unafanana sana na
mtu mmoja wa kule arusha sijui ndo wewe Filipo au nimekufananisha?
sorry lakiini

Yule mtaalamu wa Enzi zile aloimba "Ni thithi baba dhao, pia mama dhao tulio hapa" ametoka na kitu kingine kipya na cha viwango. Anasema Kinyongo Kihuja, nicho chela mbeu"
Wewe sikiliza mwenyewe ili nisije nikaongeza chumvi:

Kinyongo Kihuja by Eliraha - HulkShare
 
Last edited by a moderator:
Noma sanaaa...mnitafte kama mtu anataka tafsiri
 
Back
Top Bottom