Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.
Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.
Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.
Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️
Alikosea kusimama mapema. Angesubiri akahesabiwa mpaka 8 ardhi ikaacha kuzunguka kwanza. Hiki ndicho kilimpata Zab Judah alipokandikwa ngumi moja tu na Tsyu.
Tyson hakuwa na mbambamba. Alikuwa anapigana utafikiri wapinzani wake kuna kitu wamemuibia au pengine wamemchapia mkewe maana ilikuwa ni hekaheka haswa.
Huyu nadhani ni Thomas akionja joto ya jiwe. Aliaminiwa kuwa na "iron chin" yaani hata ukimpiga ngumi nzito kiasi gani hadondoki. Hata hapa unaona ngumi nzito zaidi ya 6 za Tyson ndiyo mwamba anasalimu amri!
Tyson hakuwa na mbambamba. Alikuwa anapigana utafikiri wapinzani wake kuna kitu wamemuibia au pengine wamemchapia mkewe maana ilikuwa ni hekaheka haswa.
Huyu nadhani ni Thomas akionja joto ya jiwe. Aliaminiwa kuwa na "iron chini" yaani hata ukimpiga ngumi nzito kiasi gani hadondoki. Hata hapa unaona ngumi nzito zaidi ya 6 za Tyson ndiyo mwamba anasalimu amri!
Alikosea kusimama mapema. Angesubiri akahesabiwa mpaka 8 ardhi ikaacha kuzunguka kwanza. Hiki ndicho kilimpata Zab Judah alipokandikwa ngumi moja tu na Tsyu.
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.
Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.
Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.
Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.
Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.
Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.
Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️
Mchezo unajulikana kama Boxing. Kwa jina jingine huitwa "The Sweet Science". Naam! Ni masumbwi. Ndondi. Vitasa!
Ni mchezo wa hatari, mchezo ambao unamuonyesha Homo Sapiens kuwa ni kiumbe wa aina gani. Unakuwa peke yako ulingoni na mpinzani wako. Huna mtu mwingine wa kumlaumu. Na ukizubaa unaweza hata kupoteza maisha au kupata uharibifu wa kudumu katika mfumo wako wa fahamu.
Kwa wachache mnaoupenda mchezo huu wa kibabe. Hebu tupieni picha au vi-clip vifupi fupi vya knockouts (KOs) au technical knockouts (TKOs) unazozikubali sana.
Kama huupendi mchezo huu na unauona kuwa ni mchezo wa kihayawani usiotakiwa kwa binadamu anayejitambua basi pita kimya kimya tu.
Mods msiuunganishe uzi huu na nyingine zinazohusu Boxing.
Mimi naanza na huyu jamaa hapa. Alitandikwa ngumi kali ambayo ilimfanya avurugikiwe na mfumo wa balansi kabisa....The Sweet Science ❤️❤️❤️
Sema yote kuhusu Tyson lakini alikuwa mpambanaji aisee. Ndiyo maana alileta mvuvumko mkubwa katika divisheni ya heavyweight. Staili yake ya kupigana tu ilikuwa burudani tosha. The man was very scary!