Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
Daniel Bryan(goat face) nilikuwa nampenda na ile style yake ya 'yes yes yes' enzi hizo
Nasikia amepona sasa hivi anaelekea kurudi
Mi mpira siupendi kabisahahaha,
finishing zake ni
1. The LeBell Lock (yes lock)
2. Running Knee
Napenda sana mabinti wanaopenda MIELEKA na MPIRA..
Alipona, alipata fracture kwenye skull, hakuruhusiwa kurudi kwenye uwanja tena, saivi ni GM wa Smackdown
Mi mpira siupendi kabisa
WWE nilikuwa naipenda sana ila nilisikia tetesi eti kumbe mshindi wanakuwa washamchagua kabla hata mechi haijaisha
Landolton sijui nimekupata jina staili yake ni noma
Under teker staili yake ya msumali ni kiboko
Triple H nayeye staili yake ni noma
Kofi Kingston na yy namkubali kinyama
John Cena (u can see me ni moto wakuotea mbali
wakuu kuna uzi wa mieleka siuoni uko sehem gani nikipatq link ntashukuru
Samahani joah hivi kwann vingi unavyopenda namm navipenda???Daniel Bryan(goat face) nilikuwa nampenda na ile style yake ya 'yes yes yes' enzi hizo
Nasikia amepona sasa hivi anaelekea kurudi
Kwasababu you are my bebe[emoji12]Samahani joah hivi kwann vingi unavyopenda namm navipenda???
Ila mm yupo pia Mysterio.
I seee maana vingi navyopenda naww unavipenda pia unavyopenda na mm napenda.Kwasababu you are my bebe[emoji12]
We are one kwa io lazima tuwe na same taste
Ray mysterio nampenda na ile style yake ya 619
HahahI seee maana vingi navyopenda naww unavipenda pia unavyopenda na mm napenda.
Ila mm Ray mysterio napenda staili yake anavyopigana kijanja na Hako kajina tu kamwanzo i think you know why.
Dats why I LOVE YOU JOANAH.
Ww mtusi lini akawa mfupi eeh.Hahah
Kisa ni ray mwenzio?
Kwani bebe na wewe mfupi kama ray?
Hahahh apo sawaWw mtusi lini akawa mfupi eeh.
Mm karefu bwana.
Kwenye em bii o o[emoji85] [emoji85]The undertaker alikuwa anatumia staili iliyokuwa inaitwa MSUMARI,
Kumtaja undertaker bila CANE ni sawa na kutaja pilau bila kachumbari,
DX a.k.a D generation, mzee mwenyewe SCHWAN MICHAEL na TRIPLE H huyu jamaa huwa harudi nyuma hata muwe 50,
Napenda sana style za mistaaaaaaaaa kene................... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anayejua anisaidia kujaza hapo [emoji115] [emoji115] juu kwenye gap
[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Kwenye em bii o o[emoji85] [emoji85]