Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Ila kuna huyu kijana anaitwa kobain i think a lone wolf alipigana na danny ambrose juzi ana finishing nzuri sana sema siijui jina
 
Macho man uuuugghu yeahhh... style yake hakuna aliyeiweza hadi Leo... Hata aliyeijaribu... Shane yake ni sawa na ya Jeff ..

Kuna marehemu Chris Benoit alikuwa anakuvuta kichwa huku kakubana..na kabla hajakuvuta anakunja ngumi anakaza mkono. Kisha anainyesha Kama atakaba mtu hivi.. Dah watu wanashangilia..
 
Hapo kwa john cena attitude adjustment. Uwiiiii. Me I just love john cena yaani to the moon and back. Na kale kamlio Ka titi tiiiii ni sheeeedaaa jameniiii
 
Ila ya jumapili dead man alilainika mpaka basi, the big dog yupo vizuri na sasa hivi amewaambia "WWE IS HIS YARD NOW" namkubali huyu jamaa..
Aah Roman ni mashine mkuu mimi i love the guy ila kiukwel sikuweza kuamini kama angeweza kumretire Undertaker..Lkn nimeamini he can do anything na ile kauli yake'''''BELEIVE THAT'''
 
Kuna cmpunk anatumia GTS, sheamus brouge kick, Wyatt na staili yake YA sister Abigail uwa anaremba Sana hadi juzi oton kamlia timing akapewa RKO matata... Alafu kuna samoe Joe huyu jamaa simpendi kabisa stail zake uwa zinajerui kweli kweli hadi wwe wameipiga marufuku Ile anamkunja mtu na kumuweka shingon kama kiroba, kuna broun strowman huyu the monster among the man.... Nguvi nying akili kijiko...... Kuna warembo Sasha bank. Naomi, Beck Lich yeye ni fireeeee.... Na alexa bliss mtoto anatharau Sana huyu alafu Bado kinda wwe wanamuandaa awe legend
 
Ila kuna huyu kijana anaitwa kobain i think a lone wolf alipigana na danny ambrose juzi ana finishing nzuri sana sema siijui jina
Cobain alipigwa na the crayz dean Ambrose kuna stail yake moja hiyo anarudi kwenye kamba anakuwa kama anadondoka akija aunyanyuki ukinyanyuka anakupa DDT moja pambano limeisha
 
The undertaker ile stail yake ya kuonesha alama ya kuchinja alafu anakugongesha kichwa chini shingo karibu ipinde inaitwaje?


Daah alafu kumbe kastaafu juzi baada ya kupigwa na Reigns! Jamaa ana 52 tu na anaonekana mzeee[emoji1491]
 
spear tamu ilikua ya bob lash hata mkiwa 10 anawazoa wote
ila vicky guererro alipata tabu sana na under taker

chriss jericho alikua ndio mwanangu

Bob Lashley lile bega tu kwanza limejaa nyama plus speed Spear lazima ikusombe hata 10

Jamaa saiv ananyanyasa TNA Impact
 
spear tamu ilikua ya bob lash hata mkiwa 10 anawazoa wote
ila vicky guererro alipata tabu sana na under taker

chriss jericho alikua ndio mwanangu

Jericho kipind hiyo Jericho kweli akikuweka Code Breaker husimami, Jericho wa leo anasumbuliwa hadi na Sami Zayn
 

Mr kene anatumia Chockslam kama finishing style yake japokua wakati mwingine akipanda hasira antumia Tombstone Piledriver
 

MSUMARI ndio unaitwa Tombstone Piledriver
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…