Myahudi Jr II
JF-Expert Member
- Jan 7, 2016
- 6,816
- 8,809
- Thread starter
-
- #61
Macho man uuuugghu yeahhh... style yake hakuna aliyeiweza hadi Leo... Hata aliyeijaribu... Shane yake ni sawa na ya Jeff ..
Kuna marehemu Chris Benoit alikuwa anakuvuta kichwa huku kakubana..na kabla hajakuvuta anakunja ngumi anakaza mkono. Kisha anainyesha Kama atakaba mtu hivi.. Dah watu wanashangilia..
Hapo kwa john cena attitude adjustment. Uwiiiii. Me I just love john cena yaani to the moon and back. Na kale kamlio Ka titi tiiiii ni sheeeedaaa jameniiii
Aah Roman ni mashine mkuu mimi i love the guy ila kiukwel sikuweza kuamini kama angeweza kumretire Undertaker..Lkn nimeamini he can do anything na ile kauli yake'''''BELEIVE THAT'''
Cobain alipigwa na the crayz dean Ambrose kuna stail yake moja hiyo anarudi kwenye kamba anakuwa kama anadondoka akija aunyanyuki ukinyanyuka anakupa DDT moja pambano limeisha
jeff hard bishoo la kufa mtuHiyo Ya benoit inaitwa Cross Face
Ya Jeff hard ni Swinton Bomb
Ni kweli kipindi ile ukimzingu Rand anakupiga Punt kick na hii style ndio ikampa jina la Viperwatu wa fujo ndio walikua wanangu kipindi kile combo ya DX
kisha mr macmen
babu finley
akaja edge na wanae
randy orton akawa kiboko ya mabishoo wote wwe
Kirefu chake mkuu??Ile ya kubana(Submission style) inaitwa STF
Taker alikua na triangle flani hivi anajifanya kasizi ukimsogelea anakudaka mkono na kukubana shingo kwa miguu na huchomiki...mtu wa kwanza kupigwa alikua ni Big Daddy V hadi alitokwa dam mdomoni...siikumbuki jina bt nadhan alikatazwa kuitumia hiyo style...will miss u the deadman Mark Callaway.
CM Punk namkubali sana na staili yake ya gts kama sijakosea, alimtesa sana Block Lesnar! Enzi hizo bifu la CM punk vs Lesnar limekolea, ule mwili mkubwa ulikuwa unapata shida sanaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cm punk yule mtoto alikua nuksiiiii[emoji51][emoji51][emoji51]
Nataman a-settle mambo yake na managent ya WWE arud kwny Game
jeff hard bishoo la kufa mtu
alikua ananikumbusha jamaa flani hivi alifia ulingoni
Weka jina picha haijafunguka
Rip under taker
jeff hard bishoo la kufa mtu
alikua ananikumbusha jamaa flani hivi alifia ulingoni
Usichukulie serious sana ni maigizo tu hayo kama ilivyo Ray akiendesha Vogue na anakaa kwenye jumba la kifahari kwenye bongo movieAah Roman ni mashine mkuu mimi i love the guy ila kiukwel sikuweza kuamini kama angeweza kumretire Undertaker..Lkn nimeamini he can do anything na ile kauli yake'''''BELEIVE THAT'''
Suplex cityyyyyyyyyy Brocker Lesner rrrr asee mwanangu ka stafu pia true Gold "Goldberg" See You Again" brother.. Daah the Ded Men.. Goodbye brother too.[emoji26] [emoji26] [emoji26]Utotoni Mchezo wa mieleka unapendwa sana, tupia kumbukumbu yako ya styles mbalimbali ulizozipenda kutoka kwa wanamieleka mbalimbali, Mimi naanza na;
1. Tombstone Piledriver - The Under Taker (Amestaafu rasmi Jumapili iliyopita)
2. The Queen's Crossbow - Cody Rhode
3. Six One Nine (619) - Ray Mysterio
5. Spear - Edge ( Hii ilikua tamu kuliko zote)
6. The People's Elbow - The Rock
7. Stunner Cold- Stone Cold
8. Attitude Adjustment - John Cena
9. Atomic Leg Drop - Hulk Hogan
10. RKO - Randy Orton (Viper)
Wengine wapenda WWE tuendelee
Endelea kujidanganya ukipigwa na fagio huji kuoa au kolewa..Usichukulie serious sana ni maigizo tu hayo kama ilivyo Ray akiendesha Vogue na anakaa kwenye jumba la kifahari kwenye bongo movie
Inaitwa Hell's Gate nadhani...Hiyo style ya Taker inaitwa Gogo Plaza au Chokko
Hayo ni maigizo watoto wa shule endeleeni kujifurahisha..Endelea kujidanganya ukipigwa na fagio huji kuoa au kolewa..
Or ChokeholdInaitwa Hell's Gate nadhani...