Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Kwelii Mkuu siku izi WWE imepoteza sana mvuto.Kuna kipindi nilisubscribe WWE YouTube ila hamna lolote la maana,hainogi kama enzi hizo
Nilishaachanana na habari za mieleka siku hizi
Daah mkuu umenikumbusha ilikuwa triple threat match kati ya Kane Goldberg na triple H wanagombania heavyweight ....ile mechi alikuwa anashinda Kane sema triple h alisaidiwa na evolution ambayo ilikuwa na Batista randy na yule babu aliyestafKweli kweli. Siku izi wanazingua sana.
Bifu za kipindi kile ni shida...kumbuka 2003/2004 bifu ya BILL GOLDBERG na EVEOLUTION...
Ukija huku kuna KURT ANGLE v EDDIE GUERERO V Chis BENOIT.
Ukija RAW kuna wakina BOOKER T...
Ukija Smackdown kuna bifu ya BROCK LESNAR na Big SHOW
Yani WWE ilikua WWE kipnd icho
Haha mkuu old is gold asee.Daah mkuu umenikumbusha ilikuwa triple threat match kati ya Kane Goldberg na triple H wanagombania heavyweight ....ile mechi alikuwa anashinda Kane sema triple h alisaidiwa na evolution ambayo ilikuwa na Batista randy na yule babu aliyestaf
Kwahiyo ameshastaafuGoldberg alipigwa ili astafahu
Yes mkuu aliga juzi alikuju uwanjani na mtoto wake kuagaKwahiyo ameshastaafu
Kumbe kweli mipango ipoYes mkuu aliga juzi alikuju uwanjani na mtoto wake kuaga
Mkuu hivi huyo Cane anaundugu wowote na undertaker?The undertaker alikuwa anatumia staili iliyokuwa inaitwa MSUMARI,
Kumtaja undertaker bila CANE ni sawa na kutaja pilau bila kachumbari,
DX a.k.a D generation, mzee mwenyewe SCHWAN MICHAEL na TRIPLE H huyu jamaa huwa harudi nyuma hata muwe 50,
Napenda sana style za mistaaaaaaaaa kene................... [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] anayejua anisaidia kujaza hapo [emoji115] [emoji115] juu kwenye gap
Hapana hakuna undugu wowote in real life ....sema inafahamika one of the best tag team in wwe history that's why peoples say that.....call em brothers of destruction despite of using same finishing move like choke slam and tombstone piledriverMkuu hivi huyo Cane anaundugu wowote na undertaker?
Safi mkuu. Umeonesha script kwa vitendo mana wengine walijua mi script ile ya kwenye bongo movie jambazi kavua viatu then anaingia ndani kuibaScript
Ni "ndugu " wakiwa kwenye wwe tv pekee.Hapana hakuna undugu wowote in real life ....sema inafahamika one of the best tag team in wwe history that's why peoples say that.....call em brothers of destruction despite of using same finishing move like choke slam and tombstone piledriver
Mkuu pitia vizuri post yangu ...nadhani ujanielewaNi "ndugu " wakiwa kwenye wwe tv pekee.
Yaah nimekuelewa mkuu nilikua naongezea nyama ...Mkuu pitia vizuri post yangu ...nadhani ujanielewa
Hivi vick guererro amepotelea wapispear tamu ilikua ya bob lash hata mkiwa 10 anawazoa wote
ila vicky guererro alipata tabu sana na under taker
chriss jericho alikua ndio mwanangu
Check channel e tv channel 250Mm nalipia dstv kifulushi cha 122500 ila sijapata chanell inayoonesha WWE naombeni msaada maana kuna chanel nyingi hata nachanganykiwa
End of daysIla kuna huyu kijana anaitwa kobain i think a lone wolf alipigana na danny ambrose juzi ana finishing nzuri sana sema siijui jina