Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Kwa wapenda MIELEKA, leo tutaje WWE FINISHERS na MOVES mbalimbali unazozipenda au ulizozipenda

Macho man uuuugghu yeahhh... style yake hakuna aliyeiweza hadi Leo... Hata aliyeijaribu... Shane yake ni sawa na ya Jeff ..

Kuna marehemu Chris Benoit alikuwa anakuvuta kichwa huku kakubana..na kabla hajakuvuta anakunja ngumi anakaza mkono. Kisha anainyesha Kama atakaba mtu hivi.. Dah watu wanashangilia..

Hiyo Ya benoit inaitwa Cross Face

Ya Jeff hard ni Swinton Bomb
 
Aah Roman ni mashine mkuu mimi i love the guy ila kiukwel sikuweza kuamini kama angeweza kumretire Undertaker..Lkn nimeamini he can do anything na ile kauli yake'''''BELEIVE THAT'''

You may called him The guy
 
Cobain alipigwa na the crayz dean Ambrose kuna stail yake moja hiyo anarudi kwenye kamba anakuwa kama anadondoka akija aunyanyuki ukinyanyuka anakupa DDT moja pambano limeisha

Hiyo style ya Dean inaitwa Close the Line
 
watu wa fujo ndio walikua wanangu kipindi kile combo ya DX
kisha mr macmen
babu finley
akaja edge na wanae
randy orton akawa kiboko ya mabishoo wote wwe
Ni kweli kipindi ile ukimzingu Rand anakupiga Punt kick na hii style ndio ikampa jina la Viper
 
Taker alikua na triangle flani hivi anajifanya kasizi ukimsogelea anakudaka mkono na kukubana shingo kwa miguu na huchomiki...mtu wa kwanza kupigwa alikua ni Big Daddy V hadi alitokwa dam mdomoni...siikumbuki jina bt nadhan alikatazwa kuitumia hiyo style...will miss u the deadman Mark Callaway.

Hiyo style ya Taker inaitwa Gogo Plaza au Chokko
 
CM Punk namkubali sana na staili yake ya gts kama sijakosea, alimtesa sana Block Lesnar! Enzi hizo bifu la CM punk vs Lesnar limekolea, ule mwili mkubwa ulikuwa unapata shida sanaaaa! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cm punk yule mtoto alikua nuksiiiii[emoji51][emoji51][emoji51]
Nataman a-settle mambo yake na managent ya WWE arud kwny Game

Cm punk yuko vizuri sana, ile mechi lesnar hataisahau alikua ameshapigwa ila Paul Heyman ilibidi aamue mechi
 
jeff hard bishoo la kufa mtu
alikua ananikumbusha jamaa flani hivi alifia ulingoni

Edgolero, JBL hatasahau hiyo siku asee alikua anamechi nae, kibaya alipoanguka akaenda kumpin alilia sana JBL
 
jeff hard bishoo la kufa mtu
alikua ananikumbusha jamaa flani hivi alifia ulingoni

Jeff Hardy na Matt Hard hua ni mapacha eh? Zile stail zao za kumalizia kwa miguu noma
 
Aah Roman ni mashine mkuu mimi i love the guy ila kiukwel sikuweza kuamini kama angeweza kumretire Undertaker..Lkn nimeamini he can do anything na ile kauli yake'''''BELEIVE THAT'''
Usichukulie serious sana ni maigizo tu hayo kama ilivyo Ray akiendesha Vogue na anakaa kwenye jumba la kifahari kwenye bongo movie
 
Utotoni Mchezo wa mieleka unapendwa sana, tupia kumbukumbu yako ya styles mbalimbali ulizozipenda kutoka kwa wanamieleka mbalimbali, Mimi naanza na;

1. Tombstone Piledriver - The Under Taker (Amestaafu rasmi Jumapili iliyopita)
2. The Queen's Crossbow - Cody Rhode
3. Six One Nine (619) - Ray Mysterio
5. Spear - Edge ( Hii ilikua tamu kuliko zote)
6. The People's Elbow - The Rock
7. Stunner Cold- Stone Cold
8. Attitude Adjustment - John Cena
9. Atomic Leg Drop - Hulk Hogan
10. RKO - Randy Orton (Viper)


Wengine wapenda WWE tuendelee
Suplex cityyyyyyyyyy Brocker Lesner rrrr asee mwanangu ka stafu pia true Gold "Goldberg" See You Again" brother.. Daah the Ded Men.. Goodbye brother too.[emoji26] [emoji26] [emoji26]
 
Usichukulie serious sana ni maigizo tu hayo kama ilivyo Ray akiendesha Vogue na anakaa kwenye jumba la kifahari kwenye bongo movie
Endelea kujidanganya ukipigwa na fagio huji kuoa au kolewa..
 
Back
Top Bottom