Kwa wapenzi inawafaa hii

Kwa wapenzi inawafaa hii

Dr leader

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2016
Posts
893
Reaction score
1,021
Kwa rehema za Manani natanguliza amani
Moyo upo mashakani macho yapo gizani
Si lakuvunda wala la ubani kwake taabani
Kwa penzi lake la thati moyo upo rehani
Nikupendae ni ww wengine hawana thamani

By Abuuabdillah
 
Back
Top Bottom