james bendui
JF-Expert Member
- Dec 3, 2015
- 693
- 690
Nashukuru mzee hy bufa tayari ninachonataka nibadili kaladha kidogo.Mzee home theater kama wew mpenz wa movie utainjoy sna
Ila kama your main duty ni mziki sikushauri?![emoji28][emoji28]
Tafuta subwoofer moja la maana ukalishe mtaa mzima
Kuanzi 350K unapata mkito mzuri Tu.
Asante mkuuu na shukuru kwa ushauri mzuri.Sound bar ni tecnology mpya kwamba ni maboresho kutoka kwenye home theatre kwa hapo nakushauri beba hiyo sound bar.
Pia Hometheater ina miwaya mingi sana hiko kitu kinanikera soon nachukua sound bar.
Bajeti ndio ndogoo mkuu ndio maana nimejimimina kweny hizi tu ss ndio nawaza ni chukue ipi kt ya hzJbl sound bar, Phillips sound bar achana na ma theater ya kizamani hayo...nazo zipo kwa range kutokana na mfuko wako kuanzia 2.1ch kuendelea...
Ok sema hazina bei hizo pia.Bajeti ndio ndogoo mkuu ndio maana nimejimimina kweny hizi tu ss ndio nawaza ni chukue ipi kt ya hz