N'yadikwa
JF-Expert Member
- Aug 10, 2014
- 7,427
- 10,905
Kale kawimbo kako "I dont know but I've been told Eskomos' ...ssy' is might cold mmh good..."
Full Metal Jacket actor dies aged 74
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamaa aliigiza vizuri nafasi yake...hata hivyo alikuwa trainer kwenye real world...Full Metal Jacket actor dies aged 74Kwenye Full metal jacket, aliitendea haki nafasi aliyoicheza.......kama habari hii ni ya uhakika; RIP
Full Metal Jacket napenda inapoanza, wananyolewa nywele, wimbo America unapigwa .View attachment 746194 View attachment 746195 Ni yule dingi wa filamu maarufu ya FULL METAL JACKET ikieelezea story ya makuruta wanaojinoa kupambana ktk vita ya Vietnam vs US...anafahamika sana kwa kumhenyesha Private Pyler na Private Joker...Private Pyler akiwa kuruta mzembe na nyama uzembe...Nami nasema "Do Not Go Gentle Into That Good Night"..."good night Universe hello grave"
Kale kawimbo kako "I dont know but I've been told Eskomos' ...ssy' is might cold mmh good..."
Tambo za private Pyle hizi anasema his ammunition Seven-six-two millimeter, full metal jacket...of all marehemu alikuwa ananifurahisha anapojitambulisha "I am Gunnery Sergeant Hartman, your senior drill instructor. From now on you will speak only when spoken to, and the first and last words out of your filthy sewers will be "Sir". Do you maggots understand that? "Seven-six-two millimeter, full metal jacket
Hatutofautiani mkuu sijui zile mashine walinolea wapi ni zinakula nywele fasta balaa...Kale kawimbo haka hapa...Full Metal Jacket napenda inapoanza, wananyolewa nywele, wimbo America unapigwa .
Sijui msiba uko wapi niende