Kwa wapenzi wa facebook

Ni kaugonjwa, lazima katibiwe
 
For inventors there can be billion dollar deal if one can come up with "facebook addiction pills" coz it's already beyond self control...
 
For inventors there can be billion dollar deal if one can come up with "facebook addiction pills" coz it's already beyond self control...

Mie mbona nimeachana nayo kirahisi tu, ila sasa JF ndio imekuwa substitute yake. ha ha ha!
 
Imenikumbusha ule wimbo wa lady jay dee. ...Nimekuwa teejaa...
 
addiction kweli kweli! Lakin ukijikeep busy na issue zingine, ni solution tosha.
 
Hiyo haiwezekani lazima ni log in japo 15 min ndo nije jf
 
hii ndo sub yake!
 

Attachments

  • nyama.jpg
    53.8 KB · Views: 85
sioni kinachofanya watu wawe addicted huko honestly,nina account huko lkn sijawa teja wala nini,kwanza mara nyingi unakutana na mesege za mitongozo kutoka kwa binadamu usiowajua wala wasiokujua which is pretty annoying.na nilikua na kipicha kimoja tu sasa hivi nimekitoa sbb hata sion maana yake.siwezi kuwa teja wa face book.
 
Kumbe kuchat kwneye FB ni sawa na kaulevi ka unga? Nilikuwa sijui lakini si inafanana na kidogo na hii JF, ila ni bora kuliko kwenda kwenye vijiwe vya kahawa!
 
mi face book naikubali kwani inakutanisha watu ama marafiki uliowaacha kitambo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…