Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

hooligan01

JF-Expert Member
Joined
Nov 21, 2013
Posts
664
Reaction score
539

Kwa upande wangu mimi muvi za animation nilizokubali kuna:

1. How to Train ze Dragon
2. The Monsters
3. The Croods
4. Aladdin.

Mimi nimeanza na hizo na wewe kama mdau wa animation ongezea basi.

===========================================================================================

Public Enemy also posted:


Uangaliaji wa Filamu za Katuni umekua ni kitu kinachotupotezea mawazo na muda na kuleta burudani kwa sisi watazamaji. Binafsi nimekua na mapenzi na Katuni tangu zama za ITV na Chanel 10 kidogo kwa maana katuni zao hazikua nzuri sana kama ITV DAIMA katika kipindi cha watoto na mtangazaji Eddy ambacho kilikua kikionesha katuni mbalimbali zenye kufurahisha na kuleta burudani si kwa watoto tu bali hata kwa watu wazima baadhi. Katuni hizo kwa uchache ni kama zifuatazo:
  • Popeye and Son (Spinach sandwich)
  • Double Dragons (the twins Jimmy and Billy against Shadow and his warriors)
  • Sonet/ Sonic
  • Scooby Doo
  • Flintstones (Yabba dabba dooo)
  • Tom & Jerry
  • The Simpsons
  • Looney Tunes
  • Batman
Tukija katika Filamu (movies) mpaka kufikia sasa nimebahatika kuzitazama zifuatazo:
  • Rango Hii Ilikua ya kwanza kuitazama
  • Zambezi
  • Smurfs The Lost Village
  • Sing
  • Hotel Transvenia
  • Peter Rabbit
  • Ferdinand
  • Moana
  • The Legend of Sarila
  • Smallfoot
  • Zootopia
  • Coco HII NAIRUDIA MARA KWA MARA
  • The Nut Job
  • Beauty and The Beast
Nataraji kuzitazama hizi siku za baadae
- THE LION KING
- FROZEN
- ALLADIN
- MULAN NK...

Ongeza za kwako uzipendazo na zilizokukamata haswa.

===========================================================================================

Stephen Chelu also posted:


Mimi ni mmoja wa watu ambao wanapenda sana kuangalia animation kuliko hata hizi filamu za kawaida. Basi kama kuna wadau kama mimi, tunaweza kutumia uzi huu kushirikishana.

Mimi binafsi naipenda sana "The Star". Huwa nairudia mara kwa mara ili tu nizione mbwembwe za njiwa Dave na rafiki yake Punda.


WADAU
Kwa upande wangu movie zangu bora za katuni ambazo nimeangalia ni hizi.

Kun Fu Panda
Penguins of Madagascar
Puss in Boots
Rango
The Lion King
Hotel Translavenia
Rio
Finding Nemo
Finding Dory
Toy Story
 
Rango
Incredibles
Hotel Translavania

Hizo ni kaliii sanaaa mkuu
 
Sharks Tale
Frozen
Ice age 1,2,3,4
The bugs life
Bolt
Epic
Dispicable me
Monsters University
Chicken Run
Antz
Ratatouille
Tangled.....etc
 
Ratatouille napenda misosi tu na madagascar dume langu motomoto na kitu cha kung fu panda
 
Yan nahisi nimemaliza animation zote. Sijuikama kuna ambayo sijaona mwenye mpya atujuze.
Ingwa kuna hii inaitwa Free Bird naisikia tu sijui iko vipi.
 
Yan nahisi nimemaliza animation zote. Sijuikama kuna ambayo sijaona mwenye mpya atujuze.
Ingwa kuna hii inaitwa Free Bird naisikia tu sijui iko vipi
We naona tunaendana kwa kupenda animations. umecheki escape from planet earth, Monster University part 2 na Turbo? afu hiyo Frozen ni ya mwaka gani?
 
Happy Julianuary good people!

Aisee, Penguins of Madagascar funga kazi
 
Yeah zote hizo nlishazichek iyo frozen ni ya 2013 nov. au dec iv
 
Kuna nyingine

Meet the Robisons
Rise of the Guardian
Toy Story 1,2,3
Valiant
Brave
Alfa and Omega
9- movie
The Pirate Band of Misfit
Coraline
Astro Boy
Chicken Little....etc.
 
Happy Feet 1 n 2
Despicable Me 1 n 2
Cloudy with a chance of Meatballs 1 n 2
Megamind
 
Yep! Ihave seen them as well

Dr.Seuss. The Lorax
Finding Nemo
Flushed Away
Gnomeo n Juliet
Franknweenie
Paranoma
Legend of the Guardians
Mars Needs Noms
Planet 51
Monsters vs Aliens
Monsters House
The Ugly Duckly
Wreck It Ralph
The Tale of Despereaux
Tinkerbell 123
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…