ππππ yule ngamia ni kiazi sana. Ngoja niisake mkuu.[emoji23][emoji23] Kwenye Star namkubali yule kondoo na kuna Ngamia mmoja kati ya wale watatu anapiga kelele hata eneo la hatari !
Tafuta pia ' Charming (2018)' utanipa mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app
Namkubaligi sa mama ndege.Ubongo kids
railph breaks the internet
Hahahaha noma sana, naona wewe umeendana na mimi sana. The Lion King zitabaki kuwa Legendari mpaka mwishooo.Shrek (1-4)
Finding Nemo
Shark tale
Lion king zote
Cars 1&2
Happy feet
Zootopia nawakumbuka Officer Tutu na Mr Bigg. ππππ
Nawakumbuka sana flash, mayor na chief bogoZootopia nawakumbuka Officer Tutu na Mr Bigg. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Zile hazizeeki kwa kweli. Tena ukizipata kwenye FHD ndio rahaHahahaha noma sana, naona wewe umeendana na mimi sana. The Lion King zitabaki kuwa Legendari mpaka mwishooo.