Kwa wapenzi wa filamu za animations/cartoons (animated films)

Rango
Shriek
Puss in a boot
Happy feet
Kung Fu panda
ice age zote
Madagascar zote
Open season
Legend of the guardians
 
Finding Nemo, my best animation


Adventure: Baba anachukua maamuzi magumu ya kumtafuta mtoto wake aliyepotea.

2. Over the Edge: burudani ya kutosha,
3. Three Pigs and A Baby: ni balaa
4. Shark Tale: full comedy
 
My best animated movies in 2013

1. Turbo
2. Epic
3. Despicable me 2
4. Frozen
5. Croods
6. Free birds
7. Monster University
8. Cloudy with a Chance of Meatballs 2
9. Planes
10. Escape From Planet Earth
 
Kuna za series pia nzuri kama Tron Uprising
 
Mh hiyo kitu si ya disney .. me nimeona trela tu ikadai inatoka 2014.. nipe magnetic link leo voda wale jero yangu isee .. i have waited enough ...

Kwa haraka sna link Kwan umechek torrent
 
mi cjaichek iyo Kwan ya ukwel

Sana zipo tatu nimepata mpaka sa hivi. Ni series flan fupi ya kwanza ni chronicles of narnia the witch, lion and the wardrobe. Ya pili inaitwa prince caspian ya tatu ni journey to the down treader. Naitafuta ya nne ambayo ni silver chair, one of the best ina mixer ya animation za ukweli balaa.
 
Kweli umemaliza zote! Kwenye list yako sijaziangalia nyingi tu ngoja nizisake. Pia kuna
WALL-E
Chicken Run
Animal United
Adventure of Tintin
Christmas Carol
Cars up Farmyard

Kati ya Epic na The Croods ipi unaona kali?
 
Kweli umemaliza zote! Kwenye list yako sijaziangalia nyingi tu ngoja nizisake. Pia kuna
WALL-E
Chicken Run
Animal United
Adventure of Tintin
Christmas Carol
Cars up Farmyard

Kati ya Epic na The Croods ipi unaona kali?

Sijazkubali hzo ila Croods inajtaidi hapo
 

Kuna series inaitwa Crooze imeanza, ya ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…