Hakuna afadhari wala nafuu hapo. Huwezi nunua Tshrt ya elfu 7 Kariakoo af utegemee iwe quality. Nenda maduka makubwa nunua za kuanzia elfu 35 hapo unaweza vaa ukapendeza. Haya ma manga na hitbasic yanapauka mifuo miwili tuu@Vumbi la congo,
Tafta T-Shirt brand ya converse zipo nyeupe na nyeusi, pia utapata mikono mifupi na mirefu ,
Ukiivaa we mwenyew utafrahia muonekano wako mpya [emoji3059].