Kwa wapenzi wa Imbewu : The Seed, huyu Zethu ni pisi kali

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam wakuu,

Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.

Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.

 
Hahahaaaaa........ilikuwa ngoma ya Nganono hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…