donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #21
Kuna binti anaitwa phindile kwenye isidingo...huyo haoni ndani
Hii kazi kwangu ni Mediocre tu...Im not attracted!
Ngonono alikufa bwashee!
Hujui madem wakali
Inaonekana nywele za bandia na mikorogo inakuchanganya....
Hujui madem wakali
Inaonekana nywele za bandia na mikorogo inakuchanganya....
saaanaTunatofautiana sana aisee.
Demu ni wa kawaida member mwenzetu wa jamiiforum financial services ni mzuri zaidi ya huyo demu labda rangi ndo imekuchanganya.Salaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.
Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.View attachment 1363849View attachment 1363850View attachment 1363851View attachment 1363852View attachment 1363853View attachment 1363854View attachment 1363855
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona jamaa anampa sifa huyo demu wakati ni wa kawaida huyu demu kwa uzuri umemzidi je angekuona wewe live mtoa mada angesemaje?