donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
- Thread starter
-
- #101
Uliangalia Ashes to Ashes?yule dada Ake Tsietsi aiseeeeee...........dah!
Au Scandal kuna yule dada liaezaa na Ndumiso walimuondoa mchezon muda kidogo..
Ila Mzansi kuna pisi nyie jamani..
Wahiii mkuuDaah ngoja nimfolow fasta
Umeona mtoto uyo sasaAisee kweli Noma mkuu View attachment 1508607View attachment 1508608
Umeona mtoto uyo sasa
Kila mtu na macho yake, mi namwona ni mzuri wa kawaida hata siwezi msimulia kwa watu.Salaam wakuu,
Mimi hua ni mpenzi sana wa hizi series za ki sauzi since isidingo, scandal etc.
Sasa kuna hii inayoitwa Imbewu inayooneshwa e.tv ya SA, kuna mdada anaigiza character ya 'Zethu' (jina halisi Nonsie) kwa kweli licha ya uigizaji wake hodari na ulioshika hatamu, hakika pia ni mmoja wa warembo walioumbika ambaye ukibahatika kua naye basi unaweza ukahisi kila utakachokigusa hugeuka almasi.View attachment 1363849View attachment 1363850View attachment 1363851View attachment 1363852View attachment 1363853View attachment 1363854View attachment 1363855
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeeeeh kwan vepeeeeeeeh? Unateseka sanaaaaah? Poleeeeeeeeh kunywa maji mengi, afu relaaaaaaaaaaaaaaaaaaaxSasa cocastic atamuweza huyo hot chick ?
Uandishi wako wa siku hizi unachekesha sana. Zile tuhuma kwamba wewe ni chakula zinapata mashiko zaidi lately.Weeeeeh kwan vepeeeeeeeh? Unateseka sanaaaaah? Poleeeeeeeeh kunywa maji mengi, afu relaaaaaaaaaaaaaaaaaaax
Hivi Azam wanairusha hiyo tamthilia ?
Naona hata youtube wameacha kupandisha episode zao...Nimeimiss sanaHapana mkuu
Na baada ya hapo unaanza kutamani house girl
Huhuhuhuhuh sasa kwahiyo weeee unaumia? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]poleeeeeeeh kakah eeeeeh, relaaaaaaaaaaaxUandishi wako wa siku hizi unachekesha sana. Zile tuhuma kwamba wewe ni chakula zinapata mashiko zaidi lately.
Naona hata youtube wameacha kupandisha episode zao...Nimeimiss sana
Imbewu wazuri wengi sana..
Huyu haingii top 5
Videm vya Yule mwenye shongololo oil cha kwanza kilikuwa kizuri sana na hata cha sasa.
Halafu kuna mmoja alipata mimba ya CEO wa maluju oil ikatoka alikuwa mzuri sana..
Na pale bar kuna wadada wazuri mno mmoja aliliwa na pastor..mzuri mno
Huyo manzi ndo type zangu nazopenda,nimemvutia picha nimemweka kitandani,nimemvua nguo,naomba mnisamehe kwa mawazo yangu
Bleach boss.Pale baa ndio kuna vinono vingi. Kuna Yule anawekaga nywele zake breach
Bleach boss.
Si breach.