Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Wakuu huu mzigo wa OUR BLOOMING YOUTH nimekwama..maana SUBTITLES Kuanzia EPISODE YA 7 Kuendelea mpakanya 20 sizioni Kabisa..Na hata Mtandaoni Nafeli KUZIONA..Msaada mwenye nazo anitumie wakuu...Only ENGLISH SUBTITLES
 
mkuu kwangu hiyo blooming youth nmeishia episode ya 6..ile kuanza ya 7 tu hakuna subtitles...kila source nmeenda kuzipakua sijaona kbsa..MSAADA PLS
 
talnam aisee ulikuwa sahihi nipo episode ya 7 ya Transit Love pale Ho-min alivyolia kwa uchungu hata mimi nimeshindwa kuzuia machozi
 
talnam aisee ulikuwa sahihi nipo episode ya 7 ya Transit Love pale Ho-min alivyolia kwa uchungu hata mimi nimeshindwa kuzuia machozi

Unaangalia season 2?
Ilo jina silikumbuki ila kama hiyo, huyo dada analia hapo trelaa maana atalia yan unajikuta unalia nae

Yani na kisa chao kinazid umiza

Season 1 sijatizama nilikuta wanaisifia s2 nami nikaishia hapo

Saiv natiza heart signal s4
Na eden ( hii dah)
Ilipoishia 19/20 imenifanya nizitafute hizo juu
 
mkuu kwangu hiyo blooming youth nmeishia episode ya 6..ile kuanza ya 7 tu hakuna subtitles...kila source nmeenda kuzipakua sijaona kbsa..MSAADA PLS

Ingia link hiyo subtitle inayo
 
Heart signal nitaangalia nikimaliza hizi zote dah nilijikuta macho yote kwa screen ghafla kushtuka machozi hata yanavyotoka sikujua.

Ilikuwa inaumiza sana

Eden niliangaliaga kidogo haikunivitia ambavyo wapo na vichupi muda wote.

Kuna moja inaitwa Love Alarm Clap Clap ile pale kuna sehemu mwanamke alimchagua mwanamke mwenzake kama soulmate basi yule jamaa Tony Hong mweye upara itakuwa unamjua,alifurahia sana nadhani historia yake unaijua ya huko nyuma
 
Wakuu mwenye link ya TEARS OF THE DRAGON naomba tafadhari
 
Hii drama kali sana penyewe tu Main Character Ji Soo alibadilishwa baada ya skendo ya School Bullying ila Na In Woo akajaribu kuibeba.

Kwa uelewa wangu Moon huwa inamaanisha Princess/Queen katika ufalme sasa hapo endelea kuchambua[emoji16]
Leo nimeimaliza.
Sorry, main character alibadilishwa kabla ya movie kuchezwa? Au nijuze tafadhali.. maana mie nimeona ni walewale.
 
Leo nimeimaliza.
Sorry, main character alibadilishwa kabla ya movie kuchezwa? Au nijuze tafadhali.. maana mie nimeona ni walewale.
Alibadiliswa baada ya kuwa ameshacheza episodes kadhaa. Aliyeanza na aliyemalizia ni watu wawili tofauti
 
Ndo maana kwa transit love wengi wanaona ni dating reality ya ukweli
Unajikuta unakua emotional zaidi

Eden, mi pia nilivyoianza dah vichupi nikasijisikia vibaya, ikabid nianze heart signal

Tony hong ( sijui ndo huyo ila kuna jamaa mmoja ana upara namuonaga kwenye variety nyingi ni upinde[emoji17], mbaba hivi.
 
Leo nimeimaliza.
Sorry, main character alibadilishwa kabla ya movie kuchezwa? Au nijuze tafadhali.. maana mie nimeona ni walewale.

[emoji16] kwamba wanafanana
Mbona hata zile humour zao ziko tofauti
Ingawa Na inwoo alijitahid sana

Nilifatilia ikiwa ongoing FL alikua ashaeka bond na first ML unaona alivyopata tabu kuji adjust
 
[emoji16] kwamba wanafanana
Mbona hata zile humour zao ziko tofauti
Ingawa Na inwoo alijitahid sana

Nilifatilia ikiwa ongoing FL alikua ashaeka bond na first ML unaona alivyopata tabu kuji adjust
Ila ile drama Ji Soo angecheza hadi mwisho ingekuwa kali zaidi jamaa alikuwa anakuja moto wakati ule alikuwa katoka kucheza When I Was The Most Beautiful sema ndio hivyo future yake ikakatisha,hata yule aliyeibua zile skendo bila shaka aliona wivu kuona jamaa anaanza kuhit akaona no acha amharibie.
 
Alibadiliswa baada ya kuwa ameshacheza episodes kadhaa. Aliyeanza na aliyemalizia ni watu wawili tofauti
But huenda kaangalia iliyokuwa updated maana ilibidi baadhi ya scenes za episode za mwanzo za character On Dal ziwe filmed upya so bila shaka kaangalia ambayo yupo Na In Woo kuanzia episode ya kwanza.
 
Kabisa
Ingekua tofauti

Msimu ule ulikua na kidudu yani ukijichanganya tu knetz wana ku bust

Wamemshindwa tu villain wa vagabond
Maana hadi kwenye queenmaker katokea na hauna namna zaid ya kukubal zile role zinamfit (a real life villain)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…