Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nikianza drama ni ngumu sana kuikatisha au kurukia nyingine. Nipo napambana na jumong mpaka iishe kisha nirukie waikiki 2.
Mimi huwa napiga hata 3 kwa wakati mmoja huwa siendi na moja na napenda kubadilisha favour ikitokea moja imefika episodes za kuboa au kupoa na change mode nahamia kwengine kisha huko ikipoa kidogo narudi kiporo Changu .
 
Arrgh yaani adriz bado una kula chakula kwa kuhadithiwaπŸ˜‚πŸ™„.
πŸ‘‰Kamtafuta kwenye my country, kaki chafua pia.
Hiyo ni kitonga nikimkuta mtu anazo ninarusha Tu ,hapo ninasevu Mb kirahisi muhimu kuna subtitles sipigwi changa la macho halafu DJ mwenyewe namkubali ananogesha muvi Sana.
 
Hii series ina season 1 yake mbona niliyodownload imejiandika season 2 ?
 
Mimi huwa napiga hata 3 kwa wakati mmoja huwa siendi na moja na napenda kubadilisha favour ikitokea moja imefika episodes za kuboa au kupoa na change mode nahamia kwengine kisha huko ikipoa kidogo narudi kiporo Changu .
We Jamaa una Akili Sana, muda mwingine series Zina poa.
 
Ndio Ina season 1 &2, Sena season 2 waigizaji wame badilishwa.
πŸ‘‰ Season 1 ime Isha kiboyaπŸ˜€
Season sina haja ya kucheki kama hivyo maana season 2 kuna mwanangu GunMan aka Iljimae nipo episode ya Nne ila ipo Moto sana tokea episode 1
 
Ndio Ina season 1 &2, Sena season 2 waigizaji wame badilishwa.
πŸ‘‰ Season 1 ime Isha kiboyaπŸ˜€
Director wake kabadilisha mandhari series ya kikorea imekuwa kama Roman empire kuanzia majengo ,mavazi , watu walivyojiwe , mandhari mpaka HD ya camera.

Hakuna mashuka Og ya Kigugryo au KiJoseon director amefanya suprise mule..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…