Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Ngoja niitafute hii haya ndo mambo yangu
 
Knight flower kama mpenzi wa romcom, captivating the king kidogo

Asante mkuu,nimetoka kumaliza kupakua hiyo knight flower episodes 12
Captivating the king tayari nimeshaangalia hadi episode ya 14...nasubiri episode 15 hapo kesho
 
Kumbe kuna blacks wenzetu wanaijua na kumaster korean language vibaya mno kiasi cha kuweza adi kuimba nyimbo zao
Leo nimekutana na video huko ya joseph busto mmarekani kaimba wimbo wa kikorea adi wenyewe wameduwaa!
 
Yap mkuu, achana na marekani Kuna mdada namjua mbongo ana imba na kuelewa maana ya maneno.

Kikubwa tafuta ost zao, zikiwa na English subtitles Ina saidia Sana.
Na kuangalia series yenyewe, hata uki sikia Nyimbo una Elewa Ina relate vipi
 
Asante mkuu,nimetoka kumaliza kupakua hiyo knight flower episodes 12
Captivating the king tayari nimeshaangalia hadi episode ya 14...nasubiri episode 15 hapo kesho
Knight flower nzuri sana nataka nianze kutazama drama za honey lee, fiery priest sikuielewa nikawa namruka
 
Nimesikia sikia tetesi nyumbani kumenoga bila vpn wala file mida ile ile ya files
Knight flower nzuri sana nataka nianze kutazama drama za honey lee, fiery priest sikuielewa nikawa namruka
 
Song ill Gook anayumba natamani atoe kitu cha pori akumbushie enzi ,wenzake wanatoa vyuma yeye bado kapoa tu.
 
Lee Joon Ki kama Michael Jackson, Arthdal season 2 bado episode mbili niimalize kwa kiasi chake imebamba .Ilipofikia Tagoon anakwenda kushindwa vita na Inaishingi
 
B

Hii site naikubali mnoo😍😍
Ipo vizuri sana Mimi siwezi kuchukua site nyingine zaidi ya hiyo ,sasa wahuni wamevamia ukiingia chrome ukiandika dramaCool zinakuja za mchongo ni ngumu kuipata Og , mimi nikipata tabu mpaka nikurudi nyuma page fulani katika Uzi huu nikaikuta link ndio ikaja website Og.

Series ukiibofya chini inaweka na wahusika wakuu wote na ukimclick zinakuja list za movies zake na maelezo mafupi kuhusu muhusika , ukitaka unasearch mtu vigongo vyake vyote vinakuja..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…