Unaonaje Ukatuma Wewe Ili Niiepuke Hii Zahama..Mtumie namba yako akutumie hela,
UpoMtumie namba yako akutumie hela,
Kuna ukameruniNimeishia ep 2. (si shabiki wa same-sex relationships).
BTW, ni maoni yangu. Kwa nitakao wakwaza naomba munisamehe.
aigooooo ndio umeenda kula urojo kweli wakati huko kwenu nyanda za juu hata money transfer sysem hakuna,halafu nimesoma taarifa jukwaa la siasa ya kwamba mumepigwa marufuku pindi munapopanda magari ya usafiri musizungumze siasa, dini wala biashara. fanyeni mipango mumshawishi mzee wa chato aangaliae korean drama la si hivyo atawapiga ban musiangalie.Usijari Nishaagiza La Asubuhi Subuh Na Nishamaliza sasa Wananidai Nimewaambia Kuwa Kuna Mtu Anatoka Seoul Anakuja Kulipa....Naona Wananitolea Vyombo Niwasaidie Kuosha Wakati Tayri Nishawadekia
Damushin Izi Mambo Zako Siyo Kabisaa..
Zinavutiaje??
Napenda Pale Anaikataa Hii Hari anayoenda Nayo Wakati Anayofanya Na Yale Yale ya Ubinaadamu,Wivu kwa Ha Ram Kuanza Kuwaonea Huruma Binaadamu Kama Pale Alipoenda Kumsaidia Yule ''My Boss'' Baada ya Kumuonea Huruma...Sa-Sa-Sa (444) anapoelekea pabaya.
Kaanza kuwa na tabia za kibinaadamu na muda mwengine huwa anamuongelea Moo Gang kwa pronoun ya "I" / Naega!
Hahahahaha, Sstem Ipo Banah Si Kuna Zile Nini Pesa....We Tuma Tuuh, Apa Naona Wanitolea Tena Mchele Niwachambuliee.aigooooo ndio umeenda kula urojo kweli wakati huko kwenu nyanda za juu hata money transfer sysem hakuna,halafu nimesoma taarifa jukwaa la siasa ya kwamba mumepigwa marufuku pindi munapopanda magari ya usafiri musizungumze siasa, dini wala biashara. fanyeni mipango mumshawishi mzee wa chato aangaliae korean drama la si hivyo atawapiga ban musiangalie.
Hahahahaha,Aya Banah Ngoja Namimi Nianze Kuangalia Nikianza na Hii Money Flowerzinakufanye kila wakati utamani kuendelea kuangalia ili upate kufahamu nani ataibuka mshindi.
Apo Kwenye Emperor Of The Sea Nahisi Tulikuwa Wote, Nilitokea Kumchukia Yule Dada Yaani Alikuwa Auoni Kabisaa Upendo Wa Oppa Ye Kakazana Na Yule Tuuh Daah! Apa Kweli Ilinigusaa...
- zinakufanya kila wakati utamani kuendelea kuangalia ili upate kufahamu nani ataibuka mshindi.
- zinakufanya na wewe mtazamaji uone tukio la kutokupendwa au kupenda kama linakukuta kwenye maisha.
- na usiombe muigizaji unayempenda wewe awe ndio hapendwi na mwenzake awe mwanamke au mwanamme utalia na kusaga meno utafikiri ni maisha ya ukweli kumbe wakimaliza kurekodi wanakwenda kula pamoja kwenye mgahawa na unabaki wewe ukiwa na chuki pamoja na povu chafu kama la kufulia nguo za gerezani.
- wakati naangalia emperor of the sea ilifika wakati nikiona jang bogo na lady jang hwa wanazungumza basi nilikuwa napeleka mbele, hahahaaaaa povu si la nchi hii. pumbavu zao wakorea.
- kwenye boys over flower ndio usisemeee ilifika wakati sijui hata nimpende nani kati ya gu jun pyo na yoon ji hoo.
- kwenye fated to love you choi jin hyuk a.k.a daniel alimpenda sana kim mi young mwanzo mwisho kuliko jang hyuk a.k.a lee gon lakini mwanamke akawa hasikii la muadhini wala la mteka maji msikitini kwa kumpenda lee gun, na ile cheka cheka yake ndio kabisaa couple yao nikaichukia.
Hii Inaonyeshwa Kila Jumamosi Na Inaonyeshwa 2 episode Kwa Mara Moja,Sa Uangalie Kamili Ikishakuwa Sub Ni Mpaka jpil Au Kuna Site Wao Huwa Zinawah Kuweka Na Sub Unaweza Iyona Iyo Iyo Jmosi...kwani jaman huwa zinawekwa muendelezo lini mpaka lini mi nagonjeka na hii money flower
asante, wacha niisubiri japo kama mbali naonaHii Inaonyeshwa Kila Jumamosi Na Inaonyeshwa 2 episode Kwa Mara Moja,Sa Uangalie Kamili Ikishakuwa Sub Ni Mpaka jpil Au Kuna Site Wao Huwa Zinawah Kuweka Na Sub Unaweza Iyona Iyo Iyo Jmosi...
Mm kule kujiongelesha tu na kujifanya serious Kumbe utumbo ndio napenda. Ila yule jamaa tabia za kibinadamu zitamkaa mda si mrefu ata suala la mapenzi naona kaisha anza kulisogeleANapenda Pale Anaikataa Hii Hari anayoenda Nayo Wakati Anayofanya Na Yale Yale ya Ubinaadamu,Wivu kwa Ha Ram Kuanza Kuwaonea Huruma Binaadamu Kama Pale Alipoenda Kumsaidia Yule ''My Boss'' Baada ya Kumuonea Huruma...
Kuwa Karibu zaidi ya Ha Ram Mpaka Kuaanza Kumsaidia Baadhi ya Vituu...
Nipo Damu yangu
Kwenye "Fated to Love You" naizimikia ajabu ile couple ya Lee Gun na Kim Mi-Young.
- zinakufanya kila wakati utamani kuendelea kuangalia ili upate kufahamu nani ataibuka mshindi.
- zinakufanya na wewe mtazamaji uone tukio la kutokupendwa au kupenda kama linakukuta kwenye maisha.
- na usiombe muigizaji unayempenda wewe awe ndio hapendwi na mwenzake awe mwanamke au mwanamme utalia na kusaga meno utafikiri ni maisha ya ukweli kumbe wakimaliza kurekodi wanakwenda kula pamoja kwenye mgahawa na unabaki wewe ukiwa na chuki pamoja na povu chafu kama la kufulia nguo za gerezani.
- wakati naangalia emperor of the sea ilifika wakati nikiona jang bogo na lady jang hwa wanazungumza basi nilikuwa napeleka mbele, hahahaaaaa povu si la nchi hii. pumbavu zao wakorea.
- kwenye boys over flower ndio usisemeee ilifika wakati sijui hata nimpende nani kati ya gu jun pyo na yoon ji hoo.
- kwenye fated to love you choi jin hyuk a.k.a daniel alimpenda sana kim mi young mwanzo mwisho kuliko jang hyuk a.k.a lee gon lakini mwanamke akawa hasikii la muadhini wala la mteka maji msikitini kwa kumpenda lee gun, na ile cheka cheka yake ndio kabisaa couple yao nikaichukia.
Mkuu,Napenda Pale Anaikataa Hii Hari anayoenda Nayo Wakati Anayofanya Na Yale Yale ya Ubinaadamu,Wivu kwa Ha Ram Kuanza Kuwaonea Huruma Binaadamu Kama Pale Alipoenda Kumsaidia Yule ''My Boss'' Baada ya Kumuonea Huruma...
Kuwa Karibu zaidi ya Ha Ram Mpaka Kuaanza Kumsaidia Baadhi ya Vituu...
Ukameruni ndio nini, Mkuu?Kuna ukameruni
Anza ni nzuriHahahahaha,Aya Banah Ngoja Namimi Nianze Kuangalia Nikianza na Hii Money Flower
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka hatari hapo kwa Jang Bogo sunbae sio kwa mahaba hayo na baba Manse.