Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Chaa siipendi hii couple siku nikisikia wanadate ntaunfollow wote na movie na Min ho zote nitafutilia mbali (natania[emoji13] )
Na hii pia ikitokea kuwa kweli basi itapendeza.



 

Kesho Iyo,Mzee wa Mipango Tayri Anaset Mambo Apo.

Ila Hii Kiukweli ni hongera kwake Anampenda uyu Binti Lakini Anajitoa Akili Kuamua Kuunganisha Mapenzi Ya Lazima Ili Tuuh Rafiki Yake Asinyanganywe Kampuni Na Babu Yake Mtata Yule....

Hii Naomba Iwe Mahususi Kwa Wanaume Wote Wa Nguvu Wa Hii Thread......Muda Mwengine Inabidi Urisk Unavyovipenda Kukamilisha Ndoto Zako.
 
Mimi namuonea huruma Na Mo Hyun-shi maana hadi baba yake katoa go-ahead.

Itabidi niaze kujiandaa kabisa kwa lolote kitakalo tokea 'sababu "huu mchezo hauhitaji hasira". Nikianza ku-catch feelings mwanzoni itakuja kunikosti mbeleni.
 
Mimi namuonea huruma Na Mo Hyun-shi maana hadi baba yake katoa go-ahead.

Itabidi niaze kujiandaa kabisa kwa lolote kitakalo tokea 'sababu "huu mchezo hauhitaji hasira". Nikianza ku-catch feelings mwanzoni itakuja kunikosti mbeleni.
Huwaga Zinakuumizaga Kiasi Ichi??
 
Umeona eeh? Ila shilawadu wanadai eti yale mahaba ya kwenye 'While you were sleeping' ndo yamesababisha hii breakup ya sasa ila mimi naona hata sio maana mle kuna mahaba ya kawaida tu labda mtu awe tu anatafuta sababu
Kama ndivyo walivyoamua basi haina budi tuheshimu maamuzi yao.

Ila hapo kwenye kiss scenes napo, mmh! Ama kweli "huu mchezo hauhitaji hasira".

Itakuwa hyeong (Minoz) ka-panic baada ya kuona anaibiwa. Hahahaaahaaa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…