Hyung kwa jinsi utazamaji wako ulivyo, hii haikufai.Utafanya hii kitu niichukue usiku huu. Na vile sina Korea Drama yoyote ile kwa sasa baada ya kumaliza Drama ya Yi Soon Shin. Tatizo sehemu nilipo mitandao ya huku wanatoa MB chache mno.
Upo North Korea nini?Utafanya hii kitu niichukue usiku huu. Na vile sina Korea Drama yoyote ile kwa sasa baada ya kumaliza Drama ya Yi Soon Shin. Tatizo sehemu nilipo mitandao ya huku wanatoa MB chache mno.
Sijaelewa aliyekufa nani?Cha Seung-won, who stars in the new movie "Believer," speaks during a showcase for the action film at a Seoul theater.
The movie, which is about a war with Asia's biggest drug ring, will hit local screens on May 24.
hii ndio movie ya mwisho kwa muigizaji kim joo hyuk kushiriki kabla hajafikwa na umauti.
endelea kupumzika kwa amani huko uliko.
kabla ya kifo chako ulituachia zawadi nzuri ya drama inayokwenda kwa jina la god of war.
hadithi inayozungumzia maisha ya mtumwa Kim In-Joon ambaye baadae anafanikiwa kuwa kiongozi mwenye nguvu kwenye utawala wa GORYEO kwa miaka 60.
Hapo ndipo nilianza kumfahamu huyu late ahjussi.
so sad.ulikuwa na ndoto ya kufunga ndoa na mpenzi wako ila Mungu hakuipenda mipango yako na yeye ndiye anayejua sababu kwa nini alikuchukua mapema.
Upo North Korea nini?
Hyung kwa jinsi utazamaji wako ulivyo, hii haikufai.
Kwanini? 'sababu bado ni ongoing. Itakupa tabu kuifuatilia so ni bora tu ungojee iwe complete na box yake.
Dah! Hii Waikiki imepigiwa debe sana humu.Basi sawa ngoja nisubiri kitu kiwe kizima kabisa. Mda huo nasubili ngoja nianze kutizama Waikiki
aigooooo inaonekana nimetumia kiswahili kibovuSijaelewa aliyekufa nani?
Ntaiangalia ila Bado Bado Kwanza Navuta Pumzi kuna kipindi Kikfika Ntaangalia tu.aminas noona ndio umegoma kabisa kuifuatilia drama ya my mister (my ahjussi) kwa kisingizio cha kuamua kuchukua likizo mpaka itakapoanza drama ya lawless lawyer ya mtaalamu lee joon gi.
chonde chonde usije ukasema hatukukupatia taarifa na bila shaka unakumbuka kilichokukuta kwenye drama ya because this is my first life.
mwanadada IU amebadilika sana humu ndani tofauti na alivyokuwa kwenye drama ya scarlet heart ryeo naweza kusema amefanya chaguo zuri sana kushiriki kwenye drama hii.
Halafu hawa ndugu wawili wasio na kazi za maana maisha yao yanafanana na ya kwangu mimi, huwa nawaonea huruma mama yao anavyowatolea maneno ya shombo.
umri wote huo bado wanakula kwao.
Dah! Hii Waikiki imepigiwa debe sana humu.
Sote ni wake, na kwake sote tutarejea.aigooooo inaonekana nimetumia kiswahili kibovu
mian-hae
kwa ufupi kama umebahatika kuangalia drama ya Argon au god of war basi fahamu ya kwamba lead actor ambaye ni kim joo hyuk ameshafariki dunia kutokana na ajali ya gari.
tvN wako vizuri sana kwenye kuchagua waigizaji wenye umaarufu kwenye sanaa jambo linalopelekea project zao kuwa na mafanikio makubwa, drama nyingi zinazofanya vizuri nchini korea siku hizi zinaonyeshwa na cable tv.Ntaiangalia ila Bado Bado Kwanza Navuta Pumzi kuna kipindi Kikfika Ntaangalia tu.
Ila Lawless lawyer Naisubili.
Ikianza kutoka fanya kunitag, chingu.Ila Lawless lawyer Naisubili.
Haha mwanzo ulitumia kijapan na sie humu wakorea,sasa nimekupata.aigooooo inaonekana nimetumia kiswahili kibovu
mian-hae
kwa ufupi kama umebahatika kuangalia drama ya Argon au god of war basi fahamu ya kwamba lead actor ambaye ni kim joo hyuk ameshafariki dunia kutokana na ajali ya gari.
Nami nitaijaribu nione hiyo waikiki maana si mchezo ila sasa naangalia comedy nyengine inaitwa modern farm.Ilipewa promo balaa Lakin sikutaka kuitizama kwasababu ilikuwa ni Ongoing. Kwa Ongoing Drama niliyo tizama ni Black pekee. Ata misty bado sijaicheki ila nikirudi huko nyumbani nitaipakua yote.
Namuona Kim nana wangu hapo.tvN wako vizuri sana kwenye kuchagua waigizaji wenye umaarufu kwenye sanaa jambo linalopelekea project zao kuwa na mafanikio makubwa, drama nyingi zinazofanya vizuri nchini korea siku hizi zinaonyeshwa na cable tv.
jaribu kufikiria upcoming drama na lead actor wanaoziongoza utagundua jinsi gani wanavyoziweka kwenye wakati mgumu vyombo vya habari kama sbs, kbs na mbc na kupelekea kuongezeka kwa ushindani wa kibiashara.
- mr sunshine = lee byung hun na kim tae ri.
- Knowing Wife =ji sung na han ji min
- lawless lawyer = lee joon gi na seo ye ji
- memories of alhambra = hyun bin na park shin hye
- why secretary kim = park seo joon na park min young
Usijari Ma Dear Chingu.Ikianza kutoka fanya kunitag, chingu.
Ni Kweli KBS, MBC SBS Wanazidiwa Na Inaonesha Kabisaaa Inavyozidiwa Izi Cable Tv Wanatoa Drama Kali Sana Siku IzitvN wako vizuri sana kwenye kuchagua waigizaji wenye umaarufu kwenye sanaa jambo linalopelekea project zao kuwa na mafanikio makubwa, drama nyingi zinazofanya vizuri nchini korea siku hizi zinaonyeshwa na cable tv.
jaribu kufikiria upcoming drama na lead actor wanaoziongoza utagundua jinsi gani wanavyoziweka kwenye wakati mgumu vyombo vya habari kama sbs, kbs na mbc na kupelekea kuongezeka kwa ushindani wa kibiashara.
- mr sunshine = lee byung hun na kim tae ri.
- Knowing Wife =ji sung na han ji min
- lawless lawyer = lee joon gi na seo ye ji
- memories of alhambra = hyun bin na park shin hye
- why secretary kim = park seo joon na park min young
ni tukio la kihistoria ambalo naamini wakorea zaidi ya million 80 limewafurahisha siku ya leo, mungu azidi kuwasimamia ili waweze kutimiza yale walioahidiana.Ichi kilichotokea Leo Korea Na Kifananisha na Drama Ya King 2 Hearts Alocheza Seung ji Na Ha Ji Won Na Ata Ule Mstari ulowatanganisha Kusini na Kaskazini Sikuwa Najua kama ni kweli Upo.
Kweli Nimeamini Korea Inayaweka Maisha Yao Ili Jamii Nyingi Wayajue Kupitia Sanaa Na kwa Kuingiza Pesa Na Kutangaza Nchi Yao. Safi Sana.