Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Naimani Atachokumbuka Hapa Unaweza Ukaacha Mbavu Chini.

Hii Drama Ni Daebak!

D.O Umu Ndani Ni Kacheza Unaweza Cheka Wewe Yeye Hata! Acha Walipwe Vizuri Wanastahiri
 
View attachment 877467
Naimani Atachokumbuka Hapa Unaweza Ukaacha Mbavu Chini.
Hii Drama Ni Daebak!
D.O Umu Ndani Ni Kacheza Unaweza Cheka Wewe Yeye Hata! Acha Walipwe Vizuri Wanastahiri
kijiji chote wananchi wake ni sheeda tupu, ni mwendo wa kucheka peke yangu kama mgonjwa ninapoiangalia iyo drama.
uyo baba mlezi nayeye ana vituko kuliko uporo wa juzi.
kuna scene moja bwana won deuk alimkaribia mke wake kama anataka kumbusu basi akaahirisha kumbe baba mlezi alikuwa anashuhudia lile tukio.
hahahahahahahahaaaa baba mlezi akachukia sana kile kitendo.
wajinga sana hao watu wawili.
 

nimeona nikujibu kwa njia hii siku ya leo na pindi nitakapopata maneno rasmi ya kukujibu basi nitaifuta comment hii,

 

Hahaha! Uporo Wa!!!!
Hahaha Mbavu..

Sa Kinachoniua Chengine Won deuk Ni yuko Seriously Jamni Acheki Hata! Pale Alipoenda Mtetea Mkewe kwa Yule Mwenye Wake Wengi! Hmmm Akaanza Shusha Tungo izo Za Mafumbo Akawaacha Midomo Wazi! Sasa Asivyotaka Watu Wamshike..

Mi Naona Anamuheshimu Sana Yule Baba Mkwe Kushinda Hata Yule Mke wake...

Won Deuk Ni GFN Hahahahahha
 
10 New Dramas To Grab Your Attention This Fall
Monday-Tuesday dramas

  1. “Where Stars Land”: itazungumzia hadithi ya watu wawili wenye tabia na mfumo wa maisha tofauti. kwa ufupi lee jo hoon na mwanadada chae soo bin ndio waongozaji wakuu wa project hii, wote kwa pamoja wanafanya kazi Incheon International Airport. Lee jo hoon ni mfanya kazi asiyependa kujichanganya na wenzake. drama hii itaanza kuonyeshwa (1/10/2018) na kupitia kituo cha SBS.
  2. Bad Papa: action drama itakayoongozwa na jang hyuk sunbae, maisha yake amekulia kama mpiganaji wa ulingoni, changamoto za kimaisha zinapelekea jang hyuk kubadili mfumo wake mzima wa maisha kwa dhumuni la kuwa baba bora.drama hii itaanza kuonyeshwa (1/10/2018) na kupitia kituo cha MBC.
  3. “The Greatest Divorce,” : je ndoa ndio mwisho wa mapenzi kati ya wawili? tumeshuhudia mara nyingi sana pindi wawili wapendanao wanapoamua kufunga ndoa vitendo vingi walivyokuwa wakivifanya mwanzoni hawaviendelezi tena.Humu ndani waigizaji wakuu ni cha tae hyun sunbaenim na mwanadada bae doo na ahjumma mtarajiwa, ni remake drama ya kijapani inayoitwa “Matrimonial Chaos. drama hii itaanza kuonyeshwa (1/10/2018) na kupitia kituo cha KBS.
Wednesday-Thursday dramas

  1. “Terius Behind Me” :Ni drama yenye maudhui ya kijasusi ndani yake, itazungumzia maisha ya single mother na jirani yake pamoja na former spy agent ambapo kwa pamoja wanajikuta wanashirikiana kutatua siri. So Ji Sub, Im Se Mi na jung in sun ndio waongozaji wakuu wa drama.Itaanza kuonyeshwa September 27, 2018.
  2. “Heart Surgeons,” ni medical drama itakayozungumzia maisha ya madaktari wa upasuaji wanaokutana na changamoto zenye kukatisha tamaa kupitia maisha yao ya kila siku. na Itaanza kuonyeshwa September 27, 2018.waigizaji wakuu ni goo soo, uhm ki joon na seo ji hye
  3. “The Smile HasLeft Your Eyes,” : Seo In Guk ni mtuhumiwa wa mauaji ya mwanafunzi wa chuo kikuu huku upande wa pili mwanadada Jung So Min anatokezea kumpenda seo in guk na kibaya zaidi kaka jung son min ndiye detective anayehusika na upelelezi wa tukio la mauaji ya mwanafunzi. unadhani ni ipi khatma ya kimapenzi kati ya wawili hao?. itaanza kuonyeshwa (3/10/2018)
Friday-Saturday

  1. “Room No. 9,” : itakapomaliza drama ya mr sunshine itafuata project hii, hahahahaaaaa ni drama itakayozungumzia maisha ya wanawake wawili ambao maisha yao yanabadilika ghafla baada ya kukutana kwa siku ya kwanza kwenye chumba namba 9 kilichopo gerezani.Kim Hee Sun ni mwanasheria na kim hae sook ni mtuhumiwa aliyehukumiwa kifungo cha maisha, tukio la ajabu linawatokezea wawili hao ambapo wanajikuta sura zao zinabadilika, nakumbuka nilitoa mfano sura ya Damushin ambaye ni masikini aliyepitiliza kiwango cha world bank inabadilika na kuwa sura ya bakhressa na huku upande wa pili sura ya bakhressa inabadilika na kuwa sura ya damushin.Aigooooo hawa wakorea watasababisha matajiri wakatae kukutana na masikini wakihoofia kubadilika.Chezea pesa ila usichezee umasikini.
  2. “The Third Charm” : love story kati ya seo kang joon na mwanadada esom ambapo wanajikuta wanapitia vipindi vinne vya mahusiano ya kimapenzi kwa miaka 12, miaka 12 wanasoma tabia niwape hongera kwa hilo, itaanza kuonyeshwa ijumaa hii ya september 28.
  3. The player : con artist 3 waliobobea kwenye dili za utapeli wanapoamua kusaka fedha kwa kila njia, humu ndani stariing ni song seung hun, krystal na lee si on.itaanza kuonyeshwa september 29 kupitia kituo cha OCN.
HIZI NI BAADHI TU YA UPCOMING DRAMA NA INAONEKANA VIKI NDIO WENYE HAKI MILIKI YA KUWEKA SUBTITLE NDIO MAANA MTANDAO WA SOOMPI WAMEZIPA KIPAO MBELE.

Drama nyengine zitakazoanza kuonyeshwa ni pamoja na
  1. Dae Jang Geum is Watching: hii hadithi yake inazungumzia kizazi cha mwanadada dae jang geum yuleee wa kwenye jewel in the palace, hao ndugu watatu wanapenda kula kuliko samaki.itaanza kuonyeshwa october 4.jamani bongo movies hata stori kama hizi zinatushinda? wabongo munapenda kula ugali si mutengeneze project ya kusifia ugali na samaki wa maji baridi
  2. The Beauty Inside : humu ndani mutakuwa na mwandada anayejibadilisha sura yake kila mwezi. itaanza kuonyeshwa october 1.


hizi drama zote ni za mwezi october tu, bado november, december.
uangaliaji wa korean drama kupita kiasi ni hatari kwa afya yako
bado namtafuta yule aliyesema ameangalia drama zote za wakorea
kwani haendi chooni?
 
Terius Behind Me ndo Naisubilii Kwa Hamuu Sanaa!
 
Mimi ni mpenzi sana wa hizi drama za kikorea na nimeshatazama nyingi tuu pengine kuliko hata wewe msomaji wa uzi huu. Leo nikifahamishe tuu Drama au Series 10 zilizo nivunja mbavu ama kunifanya nicheke kila episode ni hizi hapa!(sijapangilia kinamba)

1. ROOFTOP PRINCE
(Humu ni full vituko)


2. COME BACK MISTER
(Inachekesha na kuhuzunisha pia)


3. YOU WHO CAME FROM THE STARS
(Dah! Yule dada Ji Hyun ni chizi)


4. I CAN HEAR YOUR VOICE
(Nimecheka sana!)


5. COFFEE PRINCE
(Vituko mwanzo mwisho)


6. SUSPICIOUS PARTNER
(Uandae mbavu za spea)


7. THE LEGEND OF THE BLUE SEA
(Jun Ji Hyun na Lee Min Hoo ni shida)


8. MASTER'S SUN
(Itafute)


9. SHINE OR GO CRAZY
(Vituko vya Prince Wang So)


10. WHAT HAPPENS TO MY FAMILY?
(Inafurahisha na kuhuzunisha pia)


Zipo nyingi ila hizo ni shida hasa kama unajuajua Basic Korean! Ongeza na zako!
 
Ki Kill me Heal me
Imenichekesha San hii muv yan
 
Lol!
anyohaseyo, urotashimika!!!
NAJIFUNZA KIKOREA MWAKA WA TATU LEO LAKINI SIELEWI MISAMIATI KWANINI?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…