Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Mm naomben Series za kikorea za action na za kipelelezi zile nazikubali kinoma mfano Iris,city hunter, A man called God. Mfano huo lakin ziwe up to date.
 
Mm naomben Series za kikorea za action na za kipelelezi zile nazikubali kinoma mfano Iris,city hunter, A man called God. Mfano huo lakin ziwe up to date.
3 days 쓰리데이즈
Man to Man 맨 투 맨

Zijaribu hizo.
 


Production Team Ya Hii Drama (Sunshine) Walichotufanyia Sisi Watazamaji Si Haki Kiukweli
 

This photo taken by British war correspondent Frederick Arthur McKenzie in 1907 shows the members of the Righteous Army in Yangpyeong, Gyeonggi Province. / Photo from Frederick McKenzie's "Korea's Fight for Freedom

Hiii Picha Imeelezewa Kwenye Episode 24 Na Nitukio Lilotokea Kweli Miaka Hiyo! Na Kwa Asilimia Kubwa Hii Drama Ya Mr.Sunshine Imeelezea Ukombozi Wa Joseon Miaka Hiyo
 
AGB Nielsen Ratings:



Episode 1 7/7/18 8.852%

Episode 2 7/8/18 9.691%

Episode 3 7/14/18 10.082%

Episode 4 7/15/18 10.567%

Episode 5 7/21/18 10.835%

Episode 6 7/22/18 11.713%

Episode 7 7/28/18 11.114%

Episode 8 7/29/18 12.330%

Episode 9 8/3/18 11.695%

Episode 10 8/4/18 13.534%

Episode 11 8/11/18 12.792%

Episode 12 8/12/18 13.399%

Episode 13 8/18/18 13.327%

Episode 14 8/19/18 15.626%

Episode 15 8/25/18 12.893%

Episode 16 8/26/18 15.023%

Episode 17 9/1/18 7.694% *

Episode 18 9/2/18 14.722%

Episode 19 9/8/18 14.114%

Episode 20 9/9/18 16.500%

Episode 21 9/5/18 14.280%

Episode 22 9/6/18 16.588%

Episode 23 9/29/18 15.419%

Episode 24 9/27/18 18.129% (Finale)


Kuanzia Episode 1 Mpaka Ya Mwisho Ratings Zake
 
nimechelewa kumtakia kheri ya kuzaliwa Mr Song Il kook ahjussi siku ya jana kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu
kutoka 01/10/1971 hadi 01/10/2018 ni miaka 47 kwa mahesabu ya kawaida ameshatimiza mwanadamu huyu tokea afanikiwe kuuona muangaza wa jua na mwezi wenye kung'ara nyakati za usiku.
ila kwa kutumia kikokotoa cha korea kama sijakosea atakuwa ametimiza miaka 49
musiniulize kwa nini umri wa wakorea unaongezeka kwa miaka 2.

wakorea wanaanza kuhesabu mwaka wako pindi unapokuwa tumboni kwa mama yako, inamaana ukizaliwa unakuwa na mwaka mmoja na si mwaka 0 kama tunavyoaminishwa na wamagharibi, wanatumia neno 한 살(han sal) = mwaka mmoja.

pia wakorea wanahesabu tarehe ya mwaka kuanzia mwezi january haijalishi umezaliwa tarehe inayotofautiana na mwezi january.
ina maana kama umezaliwa 30/12 siku mbili zijazo utakuwa na miaka miwili tokea uanze kupambania maisha yako
kwa mfano mkorea anapokwambia ana miaka 20 스무 살(seumu sal) =“twenty years old” kwa kutumia kikokotoa cha kwao tafsiri yake ana miaka 18 kwa kikokotoa cha wamagharibi au miaka 19.
kwa maelezo zaidi tembelea tovuti hii.

  • vile vile 1 october ni siku ya maadhimisho ya kijeshi nchini korea.
  • siku ya uhuru kwa nchi ya nigeria

wanaijeria musije mukanifuata PM na kunimwagia povu la matusi kwa kushindwa kuweka picha yenu, hakuna asiyewafahamu mabwana nyinyi kwa maneno ya ovyo kuliko wavuvi wa kipemba.
 

Attachments

  • 1538472663781.png
    207.9 KB · Views: 40
  • 1538472749450.png
    198.4 KB · Views: 39
  • 1538472812719.png
    117.4 KB · Views: 37
aminas izo picha unazoziweka kiupande wangu zinanifanya nisiwe na furaha,
dah alichonifanyia yule panya mungu anamuona.
ukiona nimekukimbia kwa muda usije ukashangaa my friend.
naishi bila ya PC kipindi hiki na sijazoea kutumia simu kwa ajili ya kuaccess humu ndani, nahisi kama najizingua.
no PC no Korean drama.
nateseka sana.
muda huu nimemuazima jinsia Y PC yake ndio natumia ila cha ajabu hana download software hata moja.
hivi mr sunshine mwisho wake ni sad ending or glories
vipi kuhusiana na terius behind me drama ya so ji sub ahjussi?
vipi kuhusiana na 100 day my prince episode ya 7?
bad papa drama ya jang hyuk sunbaenim imeanza vizuri?
 
Mm naomben Series za kikorea za action na za kipelelezi zile nazikubali kinoma mfano Iris,city hunter, A man called God. Mfano huo lakin ziwe up to date.
  1. life on mars
  2. voice season 1
  3. voice season 2
  4. black
  5. tunnel
  6. secret forest
  7. criminal mind
  8. signal
  9. partners for justice
  10. bad guys 1
  11. bad guys 2
  12. phantom
  13. duel
  14. incarnation of money
  15. pied piper
  16. sign
  17. mad dog
  18. innocent defendant
  19. Healer
  20. Come and Hug Me
  21. city hunter
 
pindi utakapokuwa kwenye mateso na dhiki nitakuwa muokozi wako
pindi utakapokuwa na huzuni nitakuwa machozi yako
nyakati za usiku utakapoamua kutembea peke yako njiani, nitakuwa muangaza wako
utakapokuwa mpweke na mwenye mawazo yasio kwisha nitakuwa rafiki yako


nitakuwa kama mwanafamilia yako
nitakuwa zaidi ya rafiki kwako
nitakuwa kama wimbo kwako
nitakuwa sehemu ya furaha yako


bado nitazikumbuka siku tulizokuwa pamoja humu ndani
nakuomba usije ukanisahau rafiki
tafadhali
tafadhali


aigoooo bangi za mchana zenye mchanganyiko wa stress za mourinho na pogba.

upendo ndio jambo pekee linaloanza kwa kutokuelewana
good bye kwa muda mfupi my chingu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…