Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hahahahaaa, endelea kufurahia maana maisha yenyewe haya ukikaa umenuna mda wote ndio kukaribisha uzee hivyo.

Nafurahi kuona umerudi, asante sana. Zawadi yako ninayo In Shaa Allah nikilejea utaipata.
Hahahaha hahahaha! Dah! Ahsanteenii Sana Tena Sana

Siku Ilikuwa Ngumuuu..

Nashkuluni Vijana Wangu! Nacheka Sa Ivi Etiii
Sorry mjr95 Nimerudia Tena.

Ila Damushin We Subiriii Tu.
 
Hapa ndipo utatambua kwa kiasi gani kizazi hiki kimewekeza akili zao kwenye mambo ya kufikirika (filamu, miziki, tamthilia) na mambo mengi ya kigeni ambayo katika hali ya uhalisia hayana ukweli wowote.

tamthilia za kigeni ni janga la taifa

kwani tunajenga kizazi ambacho kutwa kucha (watoto, akina dada, wanawake, vijana ) wako bize kuyafatilia hata kuliko kufatilia mambo yenye tija kwao kwa maslahi mapana kwa taifa

Kwa haya tunayoyafanya leo hii tujipange na tujiandae kuvuna mapokeo ya kigeni kwenye mustakabali wa maisha yetu milele.
 
Hahahahaaa hadi Song Seung Huh..!!! Hapo namuungaa mkono, ila yataka uwe na uvumilivu wa hali ya juu kuishi na huyo jamaa. Jamaa ana vituko ile mbaya.
dah! nakuomba unisamehe.
lakini na wewe umewakusanya wanakondoo wengi kama mchungaji hali inayopelekea wengine niwasahau.
  1. choi jin hyuk
  2. jang hyuk
  3. song seung hun
  4. ..................................
 
Fates and furies nzuri, mama fair ina utoto mwingi sana mtu anabadilika vipi kuwa nyau
 
Terius behind me ipo vizuri
 
Mkuu utakuwa na kiherehere sana! Huu uzi unaitwaje na umefuata nn huku?
Nini maana ya kuwa na majukwaa tofauti kwa ajili ya watu tofauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…