Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

leo asubuhi nimeanza kuiangalia nimependa chemistry yao kati ya song joong ki na song hye kyo.baada ya miezi kama sita ndio drama yangu ya kwanza leo nimeanza kuangalia ambayo ni ya mjini
This time tunaangalia drama moja kwa wakati mmoja...mpaka sasa nimeipenda naamini itakuwa na mwisho mzuri.
 
Baada ya kutoa drama A MAN CALLED GOD 2010, alitoa DETECTIVES IN TROUBLE 2011, alitoa tena movie yaitwa ENTANGLED 2014.

Lakini waweza pia muangalia kwenye THE RETURN OF SUPERMAN ya 2013 ambayo aliact na watoto wake mapacha wa 3.
Nazipataje hizo movie ulizoziorozesha hapo mkuu
 
Nimeianza na nimeipenda sana just fell in love with song joong ki, super smart kazini, na romantic haswa. Nikimaliza nitatafuta hii uliyoniambia....halafu nimependa kikosi cha special force walivyo na umoja.
Mamaaa huyo ni shemeji yako, yani Song joong-ki na Lee min-ho ni mashemeji zenu Nifah,
Msiwapende [emoji19] [emoji19]
 
Kuna hii kitu "My Love From the Star" ni balaa. Mi drama hua naangalizia dramafever kwa kutumia VPN ya US, nililipia $11 mwaka mzima so ni full HD drama list wanazo zote including mpya zinazoendelea kutoka daily.

Kuna taarifa za chini ya kapeti zinasema lee min ho na bae suzy wameachana ila juzi wamekanusha, na pia kuna taarifa za song joong ki na na song hye kyo wana mahusiano na walikuwa pamoja marekani.
View attachment 375772
Wameachana, penzi lao limekua na kizungumkuti ila hawataki kujionesha moja kwa moja kua wameachana kwa sababu zao binafsi...

Song joong ki na Song hye kyo hakuna kinachoendelea ni mashabiki tu wanapenda kuzua ila yes walikutana New York Hye kyo alienda kufanya shopping na rafiki zake, wakala chakula pamoja na kushare picha.
 
unajua tokea song il kook alipoacha kushiriki kwenye episode ya 116 ile show imepungua rate yake ya kuangaliwa.
Na licha ya yeye kua busy sana kiasi cha kushindwa kuendelea kushiriki lakini pia watoto wamekua wakubwa ndio mana ikabidi waache.
 
Mamaaa huyo ni shemeji yako, yani Song joong-ki na Lee min-ho ni mashemeji zenu Nifah,
Msiwapende [emoji19] [emoji19]
Hahaha mimi hao nawakubali sana lkn nataka nipeleke posa kwa Kang ji-Hwangs...sasa lee min ho itabidi upambane na suzy bae kweli kweli..
 
Too bad! Walikuwa wanapendezeana...lee min hoo inawezekana ni pasua kichwa
 
Hahaha mimi hao nawakubali sana lkn nataka nipeleke posa kwa Kang ji-Hwangs...sasa lee min ho itabidi upambane na suzy bae kweli kweli..
Suzy kishapigwa chini tayari, sema tu haamini kama ameachwa...
Naomba nikusindikize kwenye kutoa posa kwa Ji Hwang.
Too bad! Walikuwa wanapendezeana...lee min hoo inawezekana ni pasua kichwa
Yani Lee ni kama yule kijana "Almasi" wa kwetu bongo, wanawabadili tu labda na yy akipata jimama atatulia, teh teh teh
 
Mamaaa huyo ni shemeji yako, yani Song joong-ki na Lee min-ho ni mashemeji zenu Nifah,
Msiwapende [emoji19] [emoji19]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi wala siwapendi hao.
Nampenda Song Il Gook na Bidam (wa kwenye (Queen Second)
 
Sasa hivi naangalia Goodbye Mr. Black.
Inanisaidia kupunguza stress,sijui isingekuwa hii kitu ingekuwaje.
Long live Koreans [emoji120][emoji120]
 
Niletee picha ya kang ji- Hwang tafadhali
Kumbe ulikuwa unamuulizia huyu Hong Gil Dong?
Sikuwa nimekariri jina lake.
 
Suzy kishapigwa chini tayari, sema tu haamini kama ameachwa...
Naomba nikusindikize kwenye kutoa posa kwa Ji Hwang.

Yani Lee ni kama yule kijana "Almasi" wa kwetu bongo, wanawabadili tu labda na yy akipata jimama atatulia, teh teh teh
Umenichekesha na kunifikirisha nikajiuliza almasi ni nani bdae nikapata jibu...inaonekana Lee anaonekana anakimbiza sana sasa si atakusumbua kwanini nisikupe Kim Soo-hyun? Ukifika wakati wa posa nitakutaarifu kaa mkao..
 
Song namkubali sana lkn bado Kang kwangu ni zaidi...nadhani mashabiki wengi walikuwa na mtazamo kama wangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…