Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Korea Ukiwa Bonge Ni Mtihani Hasa Kwa Hawa Celebrity
ukiwa mnene utakimbiwa kwa sababu muonekano wako utachukiza kwenye camera.
halafu asilimia kubwa ya wachina wana miili midogo tofauti na watu weusi
 
ukiwa mnene utakimbiwa kwa sababu muonekano wako utachukiza kwenye camera.
halafu asilimia kubwa ya wachina wana miili midogo tofauti na watu weusi
na Hiyo Miili Midogo Bado Wanaipunguza Tena Ukiliona Tumbo Ni Kama Ubao Wa karata! Anha
 
Actor Kang Ji Hwan Arrested For Sexual Assault
style mpya ya uwasilishaji taarifa kutoka kwangu kwa sababu watanzania munapenda simulizi za ukweli zenye kuwasilishwa kwa njia ya utani

kwa mujibu wa ubuyu wa bi fatuma maringo:
bwana kang ji hwan alirudi nyumbani kwake usiku akiongozana na wasichana wawili ambao ni waajiriwa wa management inayomsimamia kikazi (si mnanuja tabia za wakorea hawatosheki na kinywaji pendwa)

wakanywa weeee mpaka bwana kang akapitikiwa na taarifa za mbuga kuu ya wanyama kuhamishiwa chato (akaingia chumba walicholala wasichana na kuanza kumfanyia vitendo viovu mrs kulala unono pamoja na mrs kulala vizuri, huyu mrs kulala vizuri hakufikia hatua kubwa sana ya kuhamishia mbuga (indecent assault))

asubuhi yake mrs kulala unono akampigia simu rafiki yake anayeishi mji wa seoul na kumuhadithia mkasa mzima na akamuomba awapigie simu polisi waelekee sehemu ya tukio (nyumbani kwa bwana kang beberu mwitu)

walipofika kituo cha polisi bwana kang alisema ni kweli jana usiku nilikunywa lakini sikumbuki chochote kilichotokezea baada ya hapo, sielewi nimefikaje kwenye chumba alicholala mrs kulala unono.
jeshi la polisi wataendelea kumuhoji tena bwana kang ji hwan ili wapate kufahamu ukweli wa tukio zimaaaa la kupatwa kwa celebrity kutoka chato.

Prishaz noona bado unaendelea kumuwaza huyu mchumba uchwara anayeshindwa kutofautisha kati ya juisi ya embe na juisi ya ngano?
aminas chingu hivi una wachumba wangapi vilee
Khantwe na huyu pia wa kwako? najua utamkana kama bwana yule alivyomkana yesu kristo
Nifah huyu hajawahi kuwepo kwenye list ya kumrithi baba daehan?

 
Victim In Kang Ji Hwan’s Case Provides Testimony That She Witnessed Sexual Assault

On July 10, β€œA,” one of the victims of the case, gave her testimony to the police and is said to have stated that she witnessed Kang Ji Hwan attempting to sexually assault the other victim β€œB” while they were sleeping in a room in his home.

According to β€œA,” she woke up and when she saw what was going on next to her, she screamed and that is when Kang Ji Hwan stopped his attempts. She also told police that her clothes were in severe disarray, leading her to believe that she had suffered a similar situation, which is why she was speaking to police.

Before going to the police station, the victims visited the Seoul Sunflower Center, which provides assistance to victims of sexual violence, to undergo examinations and testing for sexual assault. The results will take approximately one week to be released. Although they were initially reported as employees of the same agency Kang Ji Hwan is signed on with, his agency has stated that the victims are outsourced staff members.
 
Kang Ji Hwan Cancels All Activities Following Arrest For Sexual Assault Allegations

On July 10, Huayi Brothers Korea released the following statement:

Kang Ji Hwan is currently starring in the drama β€œJoseon Survival,” which has canceled this week’s episode and reruns.
 
Hahaha bado namkubali kiaina ila nae aoe sasa umri unasonga ona sasa anaanza kupiga matukio ya ajabu! Ni jana nimemaliza children of a lesser God haikunikamata kihivyo, sauti yake pia huwa hainivutii ila namkubali sana.
 
Hahaha bado namkubali kiaina ila nae aoe sasa umri unasonga ona sasa anaanza kupiga matukio ya ajabu! Ni jana nimemaliza children of a lesser God haikunikamata kihivyo, sauti yake pia huwa hainivutii ila namkubali sana.
lakini si ulimkataa alipotuma ofa kwako?
pengine stress za kukataliwa na msichana kutoka kolomije city zimemfanya awe chapombe
 
Hivi Daemusin kwanini hunisomi kwa utulivu? Kigezo cha sauti kilimwangusha, nope drama yake kali akiyocheza mimi nilimkubali zaidi kny lie to me, kuna kali zaidi?
duh mianhae mianhae
dah kweli binadamu tunatofautiana kimtazamoπŸ˜€πŸ˜€
mjinga mimi nikikutana na msichana jambo la kwanza namuangalia miguu yake ilivyo, kama nikimkuta ana miguu kama ya ndovu hata salamu yake naitikia kisiri siri (banter)

kumbe kuna mwenzangu amempiga KO celebrity kwa sababu hajafurahishwa na sauti yake
😎😎😎
 
Hahaha Kwa hiyo miguu ya chupa ya bia wewe wala haikushtui!?

Sasa sauti ikikaa kike sana tutashindwa kujua nani ni nani...
 
kwa wale wanaofuatilia arthdal chronicles drama
Season 3 mpaka mwezi september itakapomalizika hotel de luna drama.

walichotufanyia hawa mabwege si sahihi kiupande fulani, inakuwaje wanatusubirisha miezi miwili kushuhudia episode 6 za mwisho, wangelifanya la maana sana kuitengeneza project yote ndipo baadae wakaionyesha kuliko kutuonjesha pilau lenye sukari.

Tanya: I'm coming for you....
Eunseom: I'm coming for you...

part 2 ,man of the match alikuwa ni saya kwa mtazamo wangu, sijui part 3 itakuwaje.

kim ji won ni mrembo kuliko mchumba wangu tuliokutana kwenye imani yetu ya ubuddha, nina wasiwasi song joong ki amemtelekeza ahjumma kwa sababu ya huyu binti

bangi za jioni ni mbaya sana, stimu zake zinawezesha kuhamisha ziwa victoria, mlima kilimanjaro na mto rufiji kuelekea mtaa wa chato
 

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Aina yako ya uwasilishaji imenifurahisha sana, hasa ulipochomekea suala la mbuga ya wanyama [emoji23][emoji23][emoji23]

Huyu si Hong Dil Gong jamani? Hapana, hajawahi kuwa ktk list. Baba Daehan ni my forever bae, labda kidooooogo Nam Gil...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…