Unnie amesmile niko mkao nasubiria kwa hamu ila nahisi zitafika 10 Dec😎..Jamani si ndio kama hivi nimekukumbuka Unnie? Of course ninazo ktk PC, kwa sasa ninazo drama 5 na movie moja.
Ngoja nikifikisha walau 10 nikucheki nikupatie...
Hii strong woman ni nzuri comedy kibao na ina crime pia.
Make sure huangalii hizi ninazokuambia, nakuhifadhia...
Unnie amesmile niko mkao nasubiria kwa hamu ila nahisi zitafika 10 Dec[emoji41]..
Hahaaaaa
Unnieeeeee, si nimekuambia kila weekend nina mzigo mpya? Hautapita hata mwezi zitakuwa mikononi mwako.
Andaa tu device yako isiwe na GB chini ya 500 [emoji847]
mwezi august umekuwa mrefu sana bila ya shaka kuna mjinga itakuwa ameuwekea super glue ili siku zake zisogee kwa taratibu kama kinyonga.30 days left arthdal chronicles episode 13 itoke [emoji26]
Una stahiki. Heshima.Hahaaaaa yani kama ubalozi wa Korea ungetoa ofa kwa wanaoipenda Korea Wallah nisingeikosa nafasi ya kwenda kutalii kisiwani Jeju na jijini Seoul.
Nawapenda kitambo na mpaka nimeiambukiza familia yangu, mdogo wangu nae kawa mlevi wa drama za Kikorea siku hizi sihangaiki kudownload drama kila weekend naletewa mzigo wa wiki nzima.
Viva Korean Drama [emoji23][emoji23][emoji1487][emoji1487]
Binafsi sikuipenda sijui nifah yeye ana maoni gani.
Komas minda.mjinga wewe kutoka pyongyang ndio nini kunipa heshima ya ufalme haliyakuwa sina hata kibanda cha udongo nitakachokitumia kama ikulu?
bridal mask hadithi yake inatokana na simulizi zinazotumia lugha ya katuni a.k.a manhwa kwa lugha ya korea au comics book kwa lugha ya beberu mweupe.
hata a man called a god drama nayo pia ni manhwa.
chukua hadithi za kipepe na rungu lake kama senga zitengenezee drama au movie.
kingdom wameishia season 1 na ilicontained episode 6.Jaman hii season ya kingdom inanimalizia mb msaada maana nimevutiwa nayo balaa
unataka kuwa mwanasayansi bila ya kuhudhuria darasani?Jang Youngsul nataman nipate iliyotafisiriwa
na wewe hivyo hivyo.Komas minda.
Chato wangalikuwa Ukoo wa Damteh teh teh gwanggaeto alikuwa hana utofauti na stering wa kihindi muda wote anapiga yeye tu.
yule fala kama angeliendelea kuishi kwa miaka 10 zaidi nadhani angelitembeza kipigo mpaka akafika maeneo ya chato.
alikufa akiwa na miaka 39 ya kuzaliwa.
teh teh teh gwanggaeto alikuwa hana utofauti na stering wa kihindi muda wote anapiga yeye tu.
yule fala kama angeliendelea kuishi kwa miaka 10 zaidi nadhani angelitembeza kipigo mpaka akafika maeneo ya chato.
alikufa akiwa na miaka 39 ya kuzaliwa.
empress ki nilifika episode ya 11 ikanishinda kuiendeleza mpaka leo hii licha ya kusifiwa kote na wadau mbali mbali ulimwenguni.Hapana aiseee Empress Ki imenishinda kwa kweli Togon kanivunja moyo was kuiangalulia ni boya sana
Healer hujaangalia? Ningekutambulisha mchumba mwingineempress ki nilifika episode ya 11 ikanishinda kuiendeleza mpaka leo hii licha ya kusifiwa kote na wadau mbali mbali ulimwenguni.
drama nyengine inayoniwia vigumu kuiangalia ni jewel in the palace pamoja na dong yi.
halafu nimejishtukizia ya kwamba sina mapenzi makubwa sana na project za ji chang wook, nimeangalia project zake mbili tu nazo ni K2 na warrior baek dong soo drama
Jina lake nimelisahau ila alikuwa ni mwandishi wa habarihapana.
mtaje jina lake nikamtafute
Hahaha! Huyo Togon unavyomuona "boya" kiasi hicho ni sababu tu ana maadui kila kona na hana mtu wa kumwamini na kila anayeonekana yuko karibu yake kwa namna moja au nyingine ni mnafiki wa kutupwa.Hapana aiseee Empress Ki imenishinda kwa kweli Togon kanivunja moyo was kuiangalulia ni boya sana
Hiyo Drama ilikuwa ni "Pindua Pindua" iliyosheheni Rebellions za kutosha bila kusahau "Mirindimo" ya vita za hapa na pale!Chato wangalikuwa Ukoo wa Dam
View attachment 1180795
King Gwanggaeto alikuwa moto hata chato wangekuwa ukoo wa Dam