Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Usijali, Uvumilivu Inayo Kwa Kiwango Chochote Cha Maji.
tumuombe Mungu atujaalie tuzidi kuwa hai, pia atuzidishie uimara wa afya na kipato.
wengi wetu tunatamani kusherehekea siku yetu ya kuzaliwa kwa kufanya yale mazuri yanayofanywa na wengineo lakini tunajikuta tunashindwa.

mara nyingi sababu inaweza kuwa ni afya au kipato ndio maana nikatanguliza kwa kumuomba Muumba mbingu na ardhi na vyote vilivyomo ndani na nje yake atuzidishie uimara.

happy birthday kwa mara nyengine tena.​
nahofia huenda ikafika hiyo siku ya alkhamis hatimaye nikajikuta napitikiwa kukutakia kheri ya kuzaliwa.
kama itakuwa hivyo natumai utanisamehe.
 
Inahitajika Kujibuje Kwanza!?
 
InshaAllah Amiin. Allah Ataleta Kheri Zake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…