Naomba link nidownload
Jal jinessoyo?( 잘 지냈어요?)Anyeong
Kadri siku zinapozidi kusonga ndivyo tunavyozidi kuongeza 'Historia' katika Ulimwengu wetu huu.Hivi sikuiz wakorea historical drama hawa toi mana kila nikitafuta nakutana nazo za zamani tu?
It's true Ndiyo maana siku hizi naangali drama kwa kwenda chini na si Juu.Kadri siku zinapozidi kusonga ndivyo tunavyozidi kuongeza 'Historia' katika Ulimwengu wetu huu.
Na katika tasnia pia kuna uwanja mpana sana wa kutengeneza vitu vipya ila 'Issue' kubwa ni kwamba si kila historia inaweza kuwa kivutio kwa 'hadhira' yaani watazamaji.
Na ndio maana waandaaji wa filamu wamekuwa wabunifu zaidi na kutumia mbadala mwingine wa kazi zao hasa za Kihistoria.
Hapo utakutana na 'Historical Drama' au 'Period Drama' ambayo ndani yake kuna maudhui ya kihistoria au kizamani zamani hususani mionekano ya waigizaji na 'Locations' lakini yenye hadithi za kutunga ama kufikirika ambazo hazipo kabisa katika Historia au zimegusa gusa 'kwa mbali'.
Kwahiyo si kwamba hawatoi Historical Drama mpya, wanatoa ila inakuwa ngumu kidogo kuwashawishi watu 'wabishi' waliokwisha kujaza 'Memory' zao za ubongo na vitu kama Jumong, Emperor of the Sea, King Gwanggaeto, Queen Seon Deok na 'vigogo' wengine wa zamani.
Hawa wajinga ni wadhaifu sana. Mtu asiyeweza kuziongoza hisia zake ni dhaifu.K-pop star Sulli found dead aged 25
Former member of K-pop girl group f(x) Sulli was found dead on Monday (Oct 14) at a house in Seongnam, Gyeonggi Province.
- She was grappling with severe depression, police said
- The 25-year-old singer debuted with f (x) in 2009, which became one of the most popular girl groups in South Korea
The singer and actress, whose real name was Choi Jin-ri, was 25.
Police told the BBC the singer's manager found her dead at her home near Seoul, South Korea.
They say they are investigating the cause of her death and are working on the assumption that she may have taken her own life.
Some believe the artist, whose real name is Choi Jin-ri, suspended her K-pop work after struggling with the abuse she got online.
She was involved in the so-called "no bra" scandal where she showed her nipples on a number of occasions.
The first pictures appeared on her Instagram account in May 2016 and she faced a huge amount of abuse on social media.
Last month her breasts were shown by accident during a live Instagram stream - which again caused controversy in conservative South Korea.
Sulli originally gained prominence as a child actress playing the role of Princess Seonhwa of Silla in the 2005 period series Ballad Of Seodong.
==========================================================
pumzika kwa amani bidada sulli japokuwa ni mara yangu ya kwanza kulisikia jina lako lakini kifo chako kimeniacha na kovu kuliko ile ya upasuaji.
- K-netizens hawajahi kumuacha celebrties au mwanasiasa akiwa salama pindi anapofanya kosa haijalishi ni dogo kama chembe ya mchanga,
- wakorea wanapaswa waitafute kwa lazima tiba ya akili(mental therapy), kinyume chake depression itaendelea kuwasambaratisha kama ebola inavyowasambaratisha wakongomani, pia serikali yao inapaswa ichukue hatua za dharura kwa haraka sana ili kukabiliana na janga hili la kujitoa uhai kwa raia wake mara kwa mara(hali imezidi kuwa mbaya)
- hakuna mkorea aliye salama hususani celebrities haijalishi ukimuona kwenye televisheni anatabasamu muda wote (huwezi jua pengine akiwa peke yake anaugulia maumivu)
- wakorea wapunguze kutengeneza drama au movies zenye kuonyesha matukio ya washiriki kujitoa uhai pindi mambo yanapokwenda kinyume na matarajio. (juzi nimeangalia episode 14 ya graceful family nimekutana na tukio hili la kiongozi mwenye nguvu kujitoa uhai baada ya kuvuja skendo ya kupokea rushwa, wapo wajinga wengine wanaiga kila kitu kinachohusu sanaa haijalishi kitawaletea athari)
umeondoka ukiwa mdogo sana.
kuna mlevi aliwahi kusema dunia inahitaji zaidi miti aina ya mibuyu kuliko binadamu.
View attachment 1232953
K-pop star Sulli found dead aged 25

binafsi siungi mkono hii tabia ya kukimbia matatizo yako kwa njia ya kujidhuru.Hawa wajinga ni wadhaifu sana. Mtu asiyeweza kuziongoza hisia zake ni dhaifu.
Akili za Kihehe hizi.
😅😅😅 vise versa is true.binafsi siungi mkono hii tabia ya kukimbia matatizo yako kwa njia ya kujidhuru.
kwa mara ya kwanza nimeshuhudia bwana great ukiondika comment huku ukiongozwa zaidi na nguvu zilizopo kwenye mikono yako na si ubongo wako.
Niko Episode ya 125, daah! Ni Hatari tupu.teh teh teh
yule jamaa alikuwa ni mwehu wa ukweli
vipi umeshafika angalau episode 100?
kazi ulionayo si ndogo muhuni wewe, drama kama hizo hutakiwi uziangalie mfululizo kwa sababu zinaweza kukufanya uwe kichaa, ilinichukua miaka mitatu kuziangalia episode 200.
Ooh jamani, RIPK-pop star Sulli found dead aged 25