Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Aya watu wangu wa nguvu tayari kuna group la korean drama fans kwa upande wa whatsapp kwa anae penda na mtu yeyote yule swala tu asiwe member hewa basi ntumien txt whatsap katika namba hii 0712107105 ili tugeane updates mbali mbali na kugeana misaada ya apa na pale yawezekana huu mtaa wa jamiiforum ukawa mbali kidogo japo unanafasi yake tena kubwa tu. so hii ni kuekana karibu katika vitu roho inapenda
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya ajabu eti maadui wanakaa wanakula na kunywa wanapojiandaa kupigana...hakuna mambo ya kuviziana. Ila mi nilichukia bhana kwa nini yule mtoto hendsam walimpa nafasi mbaya ile?
 
Hili swala lina kera sana na ninaona lina kuwa kwa kasi sana humu Jf.
 
Mi Korean drama yang bora ni the scholar who walks at night ni shida
 
ANAANZA SONG IL GOOK ANAFATA LE DAEGIL(JANG HYUK) ANAMALIZIA SWORD SAINT

ACHENI KUMFANANISHA JUMONG NA VITU VYA KIPUMBAVU

****TEAM SIPENDAGI UJINGA MIMI***
Umemuachaje Bidam mkuu?Jamaa ni noma kwa kucheza na Sword.
Pia mwalimu wake Munno ni habari nyingine.
(Kama umeangalia Queen Seondoek utajua namaanisha nini)

Otherwise... Tuko pamoja.
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo ya ajabu eti maadui wanakaa wanakula na kunywa wanapojiandaa kupigana...hakuna mambo ya kuviziana. Ila mi nilichukia bhana kwa nini yule mtoto hendsam walimpa nafasi mbaya ile?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Warrior Baek Dong Soo ni nomaaaaa.
Yule mtoto handsome (si Kim Chunchu yule?)Nimefurahi...sio kila siku kuuza sura.
Kumbe mambo (sword) anayaweza bwana?

Unamkumbuka yule msichana chizi wa kijijini mtaalam wa mishale alivyomzimikia?

Jamani nililia sword Saint alivyokatwa mkono sababu ya yule mtoto!(Baek Dong Soo)
Na pale alipomficha pangoni akatoka kurudi mtoto hayupo...uwiiiiiii
 
slave hunter
tree with deep root
shine or go crazy
jackpot.....hizo ni hatar kwa anaependa series za vijijini zenye mkono
 
No namzungumzia Yeo Un yule baadae alirithi cheo cha sky lord.. yaani pamoja na kucheza nafasi mbaya nilikuwa nampendaga hivyohivyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]. Yule mtoto wa sword saint mi nilikuwa nampenda nilikuwa nachukia Baek Don Soo anavyomuignore anakapenda kafupi kama mimi kale lol[emoji23] [emoji23]
 
Umemuachaje Bidam mkuu?Jamaa ni noma kwa kucheza na Sword.
Pia mwalimu wake Munno ni habari nyingine.
(Kama umeangalia Queen Seondoek utajua namaanisha nini)

Otherwise... Tuko pamoja.

Hao wote sio kwamba wanaifahamu martial arts kama Jang bogo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…