[emoji23][emoji23][emoji23] Nilitaka kukutag sema hii I'd inanichanganya herufi..asante innocent defendant ntaitafuta na hiyo nyingineUnatakiwa unishukuru sana na kuna nyingine inaitwa Crime puzzle ni ya moto ina matumizi ya akili na ina story nzuri kama umeipenda The Veil hii utaipenda zaidi
Nafanya mpango wa ttcl aiseeMerry Christmas ndugu zangu wakorea wa bongo.
Kwa hisani ya Racket boys. Vya bure raha sana yaani situlii na drama moja
Na mm mkuu nina ttclKama unatumia TTcl ni PM nikutumie
Nafanya mpango wa ttcl aisee
Mkuu unatumia ile ile wire tun au kuna nyingine.karibu maana mambo ni firee
Ni PM nashidwa kutuma humu file lake
Mkuu unatumia ile ile wire tun au kuna nyingine.
Yah kuna simu inapiga hadi 800kbps nyingine inazidisha hadi 2mbps ila ukiwa na WiFi router umeua maana utakimbiza hadi 5-10mbpsile ile wire tun pia nimegundua ina kasi kwenye baadhi ya simu ni kama inabagua simu vile
Uzuri wa hiyo drama ni upi?Naangalia Bulgasal hapa ila dah yule Gong Seung Yeon ana macho mazuri aiseee halafu adimu[emoji7][emoji7][emoji23]
Hii drama ni nzuri episode ya 1 yenye kisa,ya pili ilipoa flani,ya 3 ikaanza kuja kidogo ila jana ya 4 ni moto hatari i think balaa linaanzia hapa alipoibuka Bulgasal mwingine wa kuitwa Dark Hole ambaye ndiye aliyeua familia ya Min Sang Un.Uzuri wa hiyo drama ni upi?
Basi na mimi shida itakuwa simuile ile wire tun pia nimegundua ina kasi kwenye baadhi ya simu ni kama inabagua simu vile
Hakuna mshindani anayemsahau adui yake hata kwa sekunde moja,hahahahaha The Happiness babu ako ana maneno jamani hata kasi ya cherehani haimfikiii.
Ukaangalia na muda wa salamu. Idd hadi ifike utakua ushasahau๐๐๐na madikodiko ya kipemba yalivyo draft(kama wakorea na side dishes zao)tutafaidi sie. Eid Mubarak in advance
si ulinitaja kwenye thread ya kumtakia member heri ya krismasi, oohhhh nikajisemea leo mjukuu ananiletea pozi zile za baba na mtoto mwanasheria ndani ya VINCENZO.๐๐๐๐uyu Babu anazeeka na ujana wake naona, eti mjukuu sijamjibu, khaa๐๐
Na do bogoshipda๐๐๐๐mwambie tu mjukuu wake nasema "ninakumiss zaidi babu.... ๐โโ๏ธ
Me natumia kwenye line ya tigo iko faster sana inagonga mpka 2mbpsYah kuna simu inapiga hadi 800kbps nyingine inazidisha hadi 2mbps ila ukiwa na WiFi router umeua maana utakimbiza hadi 5-10mbps
Nice kabisa ila nimejikuta nimeipenda hivyo hivyo na mwendo wake nilivuta ha tunnel na nikapata files lake telegram grup lao lenye bendera ya Tanzania ila nikajiuliza nafata nini huko wakati nina ka mseleleko kazuri nikaifuta tunnel
Yah kuna simu inapiga hadi 800kbps nyingine inazidisha hadi 2mbps ila ukiwa na WiFi router umeua maana utakimbiza hadi 5-10mbps
Mkuu kwan wire tun inakubali kwa tigo?Me natumia kwenye line ya tigo iko faster sana inagonga mpka 2mbps
Ndio broo mm ndo natumia sahiiMkuu kwan wire tun inakubali kwa tigo?
Ebwanaee wacha na mm nijaribu mkuuNdio broo mm ndo natumia sahii