Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kumbe kuna namna wanaweza zuia
Em nikazane kushusha

Sent from my Hisense T5 Plus using JamiiForums mobile app
Ndio mfano mwaka jana mwezi wa 3 nilipewa app ya HA tunnel plus kipindi hicho laini ya halotel mtandao unakimbiza 10MB/sec nilikua nashusha movie au series quality 1080p nilikua sijui kama ipo siku watakuja kuzima serves Zao, nilitumia kama miezi miwili halotel wakashtukia mchezo
 
Ile ilikuwa ni njia ya IP zile host za zero rated websites ilikuwa rahisi kuzifungia.

Kwa hii ya sasa hawewezi kabisa msiwe na shaka hii labda watishie kutufunga sisi tunahujumu uchumi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Siku hizi naona inazingua. Japo huwa naweka airplane mode on kisha off inakubali
Anhaa me asubuh ilkua fresh nilidownload ep 4 chap tu imeanza kuzingua mchana mpka sahii haitaki kuconnect nimejrbu kuiuninstall nkadownload tena lakin mambo yale yale
 
Asubuhi inakua fresh ila mchana na jioni watu wengi hivyo inaanza kuzingua. Na pia nimeona telegram kuna watu wameanza mtindo wa kuuza yaani anakwambia free internet kwa elfu 15 hivyo inasababisha wenye nayo kuana wabongo hatuna shukrani.
Anhaa me asubuh ilkua fresh nilidownload ep 4 chap tu imeanza kuzingua mchana mpka sahii haitaki kuconnect nimejrbu kuiuninstall nkadownload tena lakin mambo yale yale
 
Weekend yako ili uende vizuri kabisa itafute drama ya Show window: The Queen's house utajuta kupoteza bando lako. Hii drama inahusiana na Jamaa mmoja alikuwa ana mke wake but anamchepuko pembeni yaani huyu mchepuko aliyocheza hii drama kama wewe unaangalia pia umeolewa utatamani uingie kwenye tv umuue huyo binti, huyu binti anajua kukera na kuumiza kweli kweli mke wa huyo jamaa kashi kashi aliyoipata kwa huyo mchepuko mpaka nikaanza kumuonea huruma aisee binti ni mpole ila vitu alivyokuwa anafanya ni balaa.
missyrose
Numbisa
DAEMUSHIN
Kheri007
Vagabond99
Franky Samuel
 
Kumekuchaaa. Shukrani Inno, nimeshaivuta japo nasubiria iishe ndio niangalie maana masuala ya kukimbizana na ongoing inahitaji moyo
 
🙏🙏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…