Hata mimi mwenyewe sikuimaliza niliona inanichosha vip lakini ulifanikiwa kuicheki innocent defendantNaangalia The Tragedy of one hapa najikaza tu iishe..sijawahi kuona drama mbaya kama hii
Mimi najilazimisha ndio nipo episode ya kumi...bado nikimaliza hii ndio nitaangaliaHata mimi mwenyewe sikuimaliza niliona inanichosha vip lakini ulifanikiwa kuicheki innocent defendant
Inaonesha ulidownload episode zote ndio maana unajilazimisha kuendelea kuangaliaMimi najilazimisha ndio nipo episode ya kumi...bado nikimaliza hii ndio nitaangalia
Nilipakua napakua kidogo kidogo, mimi nikianza drama lazima niimalize ije mvua lije jua. Kama ni mbaya ndio kama hivi drama ya ep12 naangalia mwezi mzimaInaonesha ulidownload episode zote ndio maana unajilazimisha kuendelea kuangalia
Mimi pia sikuimaliza Yan nliona najikaza had nataka kupasuka, wasanii wazur wengi stori haieleweki.Nilipakua napakua kidogo kidogo, mimi nikianza drama lazima niimalize ije mvua lije jua. Kama ni mbaya ndio kama hivi drama ya ep12 naangalia mwezi mzima
Upo sahihi kabisa series nyingi zilizotoka hivi karibuni nyingi ni za kawaida na zingine ni mbaya kabisa na ndio maana nimeamua kuseach za zamaniKuna kaupepo flan kama drama kaliiii hamna
Alafu hizi bundle za bure unashusha ukikuta tasteless hata roho aiumi unaiacha.
Nimetizama uncle naona chaebol family kind of zinaniboa, Ila ntaangalia
One and only na Jirisan kama ziko slow
Namalizia snowdrop tu hapa
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti hadi unataka kupasuka. Hiyo drama ya sheria inaitwaje?Mimi pia sikuimaliza Yan nliona najikaza had nataka kupasuka, wasanii wazur wengi stori haieleweki.
Na Yule dada mtangazaji yani kajikondesha hadi havutii na nilimpenda ile drama yake ya sheria
Naangalia The Tragedy of one hapa najikaza tu iishe..sijawahi kuona drama mbaya kama hii
Kuna kaupepo flan kama drama kaliiii hamna
Alafu hizi bundle za bure unashusha ukikuta tasteless hata roho aiumi unaiacha.
Nimetizama uncle naona chaebol family kind of zinaniboa, Ila ntaangalia
One and only na Jirisan kama ziko slow
Namalizia snowdrop tu hapa
Nimesahau jina em nikachek[emoji1787][emoji1787][emoji1787] eti hadi unataka kupasuka. Hiyo drama ya sheria inaitwaje?
Nilivyoicheki hiyo nikiingia comment session wanavyompraise Kim so hyun hadi najiuliza tunatizama drama moja auHali mnazopitia na mie napitia hasa one ordinary day sijaipenda mwanzon bahati nzuri nimevuta episode 6 tu
Nilivyoicheki hiyo nikiingia comment session wanavyompraise Kim so hyun hadi najiuliza tunatizama drama moja au
Then ndo most paid actor...wow
Ni nzuri Ila sio kali.
Kama snowdrop huyu jisoo daah
Kuna blink humu maana ukimponda wanakuja kama nyuki[emoji23][emoji23]
Yamenishinda...nimeifuta tuMimi pia sikuimaliza Yan nliona najikaza had nataka kupasuka, wasanii wazur wengi stori haieleweki.
Na Yule dada mtangazaji yani kajikondesha hadi havutii na nilimpenda ile drama yake ya sheria
Sana hata kwenye it's okay not to be okay Yule sang tae (kaka mtu) alifanya kazi kubwa sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kuna watu wana bahati ya kudaka mashabiki lia lia. Most paid actor ni drama chache mno alizocheza nikaona za maana.
Moon sang tae belongs to Moon sang tae[emoji16][emoji16][emoji16] Nilimpenda sana yule kiumbe....hata kwenye touch your heart kafanya poa sanaSana hata kwenye it's okay not to be okay Yule sang tae (kaka mtu) alifanya kazi kubwa sana
Hahahah mpaka unajiuliza kwani nakuwa monitored kutizama.Yamenishinda...nimeifuta tu
Hahaha sanaMoon sang tae belongs to Moon sang tae[emoji16][emoji16][emoji16] Nilimpenda sana yule kiumbe....hata kwenye touch your heart kafanya poa sana
Yumo kwenye Hot Stove League, When The Camelia Blooms, Jirisan na Uncle.Hahaha sana
Hiyo sijaiona ntaitafuta, Mimi nimekuwa namfatilia vizuri kutokea hapo.