Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Umenichekesha[emoji16][emoji16][emoji16]
 
nilipokuwa shule ya msingi niliwahi kunyimwa marks kwenye mtihani wa muhula kwa sababu ya kuandika sio kweli badala ya si kweli. wasumbuliwa na tatizo gani mpaka ukafikia hatua ya kukatika kipande? ........umesema wewe sio mzima.
Kwa mithali hizi...ni yeyee[emoji1787][emoji1787]
Mimi sio mzima kwa sababu nimekumisi sunbae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…