Ina connect kawaida ila nkisema nishushe series zinakataa,sababu bundle hakuna [emoji16]Natumia chrome
Usitumie chrome jaribu kutafuta hata ile opera mini ya zamani yenye mb 2.Ina connect kawaida ila nkisema nishushe series zinakataa,sababu bundle hakuna [emoji16]Natumia chrome
Hiyo kitu mbona network huwa inakata yaani utaperezi kidogo mara unakataa inaleta ujumbe no internet connectionUsitumie chrome jaribu kutafuta hata ile opera mini ya zamani yenye mb 2.
Mi nazikimbiza hadi episodes 15 kwa siku kwa hii.
Naomba mtu yeyote ajitolee kunipa maelezo kuhusu hiyo app, inapatikana wapi, na nawezaje kunufaika nayo, vipi kwa line ya Tigo inakubali??Nime download Wire Tun nikajaribu ku connect nikiwa sina Bundle ila haijakubali natumia ttcl sijui nimekosea wapi
Cc@Numbisa
Ipo playstore,download kisha connect kwa wengine inakubali kwa tigo ,airtel na ttclHiyo kitu mbona network huwa inakata yaani utaperezi kidogo mara unakataa inaleta ujumbe no internet connection
Naomba mtu yeyote ajitolee kunipa maelezo kuhusu hiyo app, inapatikana wapi, na nawezaje kunufaika nayo, vipi kwa line ya Tigo inakubali??
Huwezi amini nadownload series hata episode 20-50 kwa MB za kununua, ni gharama ila kwasababu nimeshakuwa mlevi wa series hakuna namna.
Yeas mzeee wakorea noma saana.Saa saba hii nipo busy nafatilia series (ALL OF US ARE DEAD), bonge moja series.
Story, Directors, Actors wameitendea haki hii series.
Ngoja nirudi nikaimalizie.
Kwa sisi tunaotumia halotel tunaweza kuitumia hiyo applicationuwe unabadili server mbali mbali na kuendelea kujaribu kuingia mtandaoni pia jaribu kutumia uc browser inadownload fasta.
Ili isikutese pale mtandao unaposhuka zima data then washa hapo hapo inakimbiza hatari,hat mimi mwanzo ilinisumbua kwenye hii stage ila sasa nacheza nayo tuHiyo kitu mbona network huwa inakata yaani utaperezi kidogo mara unakataa inaleta ujumbe no internet connection
Kwa sisi tunaotumia halotel tunaweza kuitumia hiyo application
Bado nateseka[emoji23][emoji23][emoji23]
Sidhani kama watatoa season 2, ila ni series nzuri sana.Yeas mzeee wakorea noma saana.
Tunasubiri season 2
Unateseka na nini roseBado nateseka[emoji23][emoji23][emoji23]
Jaribu kutumia ha tunnelBado nateseka[emoji23][emoji23][emoji23]
Ile ya mwanzo kali.Kwa ambao tayari wameangalia TRAIN TO BUSAN, ipi ni nzuri kati ya ile ya 2016 na hii nyingine ya 2020.
Nakaribia kuimaliza "My Father is strange " vipi kuna nyengine kali kama hiiii nianze kuishusha mapema?Pole ,mie nilikomaa nayo mpaka nikaielewa wapi ina mwendo wapi haina
Hizo hapo hutajutia muda wakoNakaribia kuimaliza "My Father is strange " vipi kuna nyengine kali kama hiiii nianze kuishusha mapema?
Jaribu kutumia ha tunnel
Mimi hii ilinishinda siku ikususa unataman upasue simu. Ha tunnel imefanya PC imejaa yaan kuzifuta roho inauma, so natizama kwenye simu nafuta kesho na download mwendelezo.
Ila ni asubuh tu