ukiajiriwa kazi ya upishi kwa mkorea jiandikie umeumia, kwa siku wanapika dishi zaidi ya kumi kwa vyakula tofauti. utaosha vyombo mpaka mikono ifanye ganzi
Wali wenyewe ule bokoboko. Sijawahi kuona wanakula pilau au ugaliwakorea ni wanywaji pombe kuliko watanganyika.
wakorea wanapenda wali kuliko wapemba.
Hahaha wale mbwa wanakula[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mtu mmoja anawekewe bakuli tano ale khaa na anamalizaukiajiriwa kazi ya upishi kwa mkorea jiandikie umeumia, kwa siku wanapika dishi zaidi ya kumi kwa vyakula tofauti. utaosha vyombo mpaka mikono ifanye ganzi
Zile chai zao kwanza nahisi hata haweweki sukari, mimi nikienda kwao sitakunywa hata ila mimi nitajaribu ile gisaeng tea sijui nimepatia kuandikaKabisa zile side dishes si mchezo,asubuhi mchana na jioni. Bado tabia zao za kunywa chai,mgeni anaalikwa chai na sio juisi wala soda..
Wana aina nyingi za chai usijeshangaa unanyweshwa chai ya mchicha ila inapewa jina taamu la kizungu au kikorea
Zile chai zao kwanza nahisi hata haweweki sukari, mimi nikienda kwao sitakunywa hata ila mimi nitajaribu ile gisaeng tea sijui nimepatia kuandika
Zile chai zao kwanza nahisi hata haweweki sukari, mimi nikienda kwao sitakunywa hata ila mimi nitajaribu ile gisaeng tea sijui nimepatia kuandika
Hata najua basi [emoji1787][emoji1787]Hivi gisaeng si ndo ya kuongeza nguvu za kiume pia eh
leo ni siku ya 30 nimeendelea kuisoma comment yako lakini bado sijaielewa. mountain playlist ndio nini?Kwenye mountain playlist nimeshangaa mapish yao hawatumii chumvi lbda kwenye nyama tu
iondoe kwenye fikra zakoHivi wakuu vagabond 2 lini ?
graceful family ilinivutia.A business proposal
Graceful family
mambo ya akina chaebol
Mimi nasubiri ujio wa ALL OF US ARE DEAD, though najua sio leo wala kesho.Hivi wakuu vagabond 2 lini ?
A business proposal
Graceful family
mambo ya akina chaebol
Mimi nasubiri ujio wa ALL OF US ARE DEAD, though najua sio leo wala kesho.