Mimi bado NumbyWameshaangalia zamani sana.
Mimi bado Numby
Asante kwa kutusaidia kuziweka hapaHee kumbe maana daemusin alishazitaja miaka mitano iliyopita. All the best
Asante kwa kutusaidia kuziweka hapa
[emoji28][emoji28][emoji28] hapana bhana,nipo nazo mwenyewe..nimekuja kukupa mwaliko wa sikukuu ya Eid..ila uje na drama [emoji1]Aiseee leo ninge mpole sijui nywila zipo kwa mtekaji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji28][emoji28][emoji28] hapana bhana,nipo nazo mwenyewe..nimekuja kukupa mwaliko wa sikukuu ya Eid..ila uje na drama [emoji1]
Hahaha yule mtu wa ulojo ana visa sana, hizo hizo zenye episodes 50 ndio safi Numby,,Wacha niandae external yangu hapaAsante sana maana dae alinidondoshea gazeti reeefuuuu la kuninyima mualiko wa Idd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Daemushin nshapata mwalikooo.
Drama zipo tele halafu siku hizi nimehamia family drama mazima episode 50 ila burudani kama zote.
Hahaha yule mtu wa ulojo ana visa sana, hizo hizo zenye episodes 50 ndio safi Numby,,Wacha niandae external yangu hapa
Karbu sana Numby, location ni Ile Ile [emoji1]