Huyu dada wanapenda kumpa role ya sadness,pains na anaitendea hakiCongratulations unnie
View attachment 2249172
Pole buana, karibu maana ulipoteatunaotumia vitochi haya mabadiliko ya JF yanatuadhibu. Font za kichwa cha habari na maelezo yake utadhani matangazo ya msiba. Kitufe cha all forums kimefichwa mbali utadhani chakula cha bibi na bwana harusi kwa siku 3 za mwanzo. Baadhi ya nyakati thread inakurudisha kurasa ya kwanza kanakwamba nilikimbia jf.
tunaotumia vitochi haya mabadiliko ya JF yanatuadhibu. Font za kichwa cha habari na maelezo yake utadhani matangazo ya msiba. Kitufe cha all forums kimefichwa mbali utadhani chakula cha bibi na bwana harusi kwa siku 3 za mwanzo. Baadhi ya nyakati thread inakurudisha kurasa ya kwanza kanakwamba nilikimbia jf.
google wameniambia neno fanboy lina maana ya shabiki wa kiume juu ya jambo husika mfano muziki n.k. Je wewe ni mwanaume au nimeelewa vibaya andiko lako. Siku zote nakuchukulia wewe ni jinsia ya kike. Mwengine ni huyo aliyeweka avatar ya lee seung gi nafikiri ni mqaxy. Hivi Khantwe wewe ni keee au mbuzi meee. Nakusalimia mchumba wa siri wa marehemu said mabastola.Shida ni kwao zinapitishwa tu na zikiwa nje ya mstari Netizens huwa wanawasha moto.
Bahati mbaya wanakazia vitu simple eti Joseon Exorcist ilikuwa na makosa gani jadi kufutwa.
But nishawazoea that's why nawapenda sana huku kwenye K-Pop ndio nipo sana fanboy wa nguvu
😂 😂 😂Karibu kwa wasukuma ufaidi,msukuma anapenda kununua mavitu makubwa makubwa kupita uwezo wake mfano simu😂😂😂😂😂wenye masimu makubwa wanaona mabadiliko kama hayawahusu vile
na nimesikia wanataka kufanya maandamano ya amani ya kumpongeza Maxence Melo na timu yake ya madeveloper kwa mabadiliko haya. Hii nchi uhuru umekuwa mwingi sana mpaka waziri anakimbia bungeni bila ya taarifa.Karibu kwa wasukuma ufaidi,msukuma anapenda kununua mavitu makubwa makubwa kupita uwezo wake mfano simu😂😂😂😂😂wenye masimu makubwa wanaona mabadiliko kama hayawahusu vile
tiba ya ugonjwa wangu ni kuendana na mabadiliko ya teknolojia,Pole buana, karibu maana ulipotea
umeangalia drama ngapi za huyo dada, nimeona mbili na mpaka kesho sitozimaliza.. Ukianza zoezi la kutafuta mchumba muislamu tafadhali nitaarifu, ninaye ndugu wa kike ni mrefu kama lionel messi. Uzuri ana degree ya kupaka makeup.Huyu dada wanapenda kumpa role ya sadness,pains na anaitendea haki
kwa mujibu kdrama wanawake wa korea wanachukizwa na menopause, sijui maana yake nini hilo neno maana naliona sana likitamkwa na madaktari kwenye dramas zao.Congratulations unnie
View attachment 2249172
Jamani huyu mwandiko wake unaonyesha kabisa ni me, hata mimi ni megoogle wameniambia neno fanboy lina maana ya shabiki wa kiume juu ya jambo husika mfano muziki n.k. Je wewe ni mwanaume au nimeelewa vibaya andiko lako. Siku zote nakuchukulia wewe ni jinsia ya kike. Mwengine ni huyo aliyeweka avatar ya lee seung gi nafikiri ni mqaxy. Hivi Khantwe wewe ni keee au mbuzi meee. Nakusalimia mchumba wa siri wa marehemu said mabastola.
Mimi nimeona moja tu Fated to love youumeangalia drama ngapi za huyo dada, nimeona mbili na mpaka kesho sitozimaliza.. Ukianza zoezi la kutafuta mchumba muislamu tafadhali nitaarifu, ninaye ndugu wa kike ni mrefu kama lionel messi. Uzuri ana degree ya kupaka makeup.
Hata sie wabongo tunachukizwakwa mujibu kdrama wanawake wa korea wanachukizwa na menopause, sijui maana yake nini hilo neno maana naliona sana likitamkwa na madaktari kwenye dramas zao.
huenda ni mzaliwa BUSANMkuu unawajua mastaa wa kikorea kama wote
kwa mujibu kdrama wanawake wa korea wanachukizwa na menopause, sijui maana yake nini hilo neno maana naliona sana likitamkwa na madaktari kwenye dramas zao.
Ndio najua leo kuwa ni mwanaume labda ni kwa sababu sikuwa namzingatia sanaJamani huyu mwandiko wake unaonyesha kabisa ni me, hata mimi ni me
Eti mrefu kama lionel Messi dah! Unajua kunifurahisha, drama za huyo dada sikumbuki majina yake lakini ni mtu ambaye wakulilia mwenye machungu na huzuni kwa drama zote zake nilizochekiumeangalia drama ngapi za huyo dada, nimeona mbili na mpaka kesho sitozimaliza.. Ukianza zoezi la kutafuta mchumba muislamu tafadhali nitaarifu, ninaye ndugu wa kike ni mrefu kama lionel messi. Uzuri ana degree ya kupaka makeup.
ni kwa sababu hajaigiza empress ki ndio maana huzikumbuki drama zake.Eti mrefu kama lionel Messi dah! Unajua kunifurahisha, drama za huyo dada sikumbuki majina yake lakini ni mtu ambaye wakulilia mwenye machungu na huzuni kwa drama zote zake nilizocheki