Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Asante

Musical variety nimetizama
Produce 101
Mom is an idol
Phantom singer
Naendelea na King of mask singer, immortal song na Sing Again

Alafu

-2Days&1Night

-Running man* imenishinda wanaongea haraka haraka alaf mpangilio wa matukio siuelewi
-I live alone ndo inaniua mbavu

-Master in the house nimetizama episod 1 muda ni mchache[emoji1787]
 
Running man ina episode kibao,wanaofatilia wana kazi ya ziada. Nyingine ntajitahidi kufatilia taratibu hasa zenye episode chache
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daah mimi Mr Queen nilipoanza episode 1 niliangalia mfululizo hadi mwisho. Inaingia kwenye rekodi ya drama nilizoangalia kwa muda mfupi sana...nahisi niliimaliza ndani ya siku tatu
Drama niliyoangalia kwa muda mfupi zaidi ni All of us are dead, zele ni episode 12 lakini ilinichukua masaa tu kuimaliza ( niliianza ijumaa 4 usiku nikaimaliza 7 mchana jmosi)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…