Little women nilishindwa kabisa kuimaliza
Ahsante sana kwa kurecommend Behind every star. Hivi ndio vitu napendaga mimi bwana yaani naenjoy balaa hapa nipo episode ya nane na sitamani iishe[emoji1787]Niliimaliza ila hata sikuielewa
Asante mkuu kwa kutupa maelezo ya drama maana unatusaidia before hata hatujaenda kucheki maana bando lishageuka la budget. By the way binafsi sijavutika na hii ulioeleza cos sijaona uspecial wake au vitu vya ziada zakunivutia niangalie, story ya kawaida haina ubunifu wowote mf drama kama Innocent defendant unaona kabisa ina matumizi ya akili, haitabiliki na story yake imesukwa vizuri na ina hamshamsha sasa hiyo imepoa Sana. Mfano mwingine dangerous wife ni ya mapenzi lakini ndani kuna matukio ambayo yanakufanya ikusisimue kuiangalia zaidi mimi ndio napenda drama za namna hii. Nimekuandakia hivyo sio kwamba naponda taste zako za drama au siheshimu lahasha bali ujue nini napenda ili ukitokea nahitaji drama uwe unajua Nini napendaRECIPE FOR FAREWELL DRAMA:
Mwaka 2023 nimeuanza na project hiyo ilioonekana mwishoni mwa mwaka 2022.
Drama ina episode 12 na kila episode imebeba wastani wa dakika 30.
Nimeangalia episode tatu mpaka naandika comment hii,
Imenivutia na kuipenda.
==========
Chang-Wook (Han Suk-Kyu) is in his 40's. He works as a translator and a humanities instructor.
His wife (Kim Seo-Hyung) suffers from terminal bowel cancer. She also has difficulties eating, because of digestive problem.
She asks Chang-Wook to cook for her everyday, even though the only thing he knows how to make is ramen. Chang-Wook begins to cook for his wife and she eats little bits of his food, which he cooks with love and care.
View attachment 2474166
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui kwa nini nimejikuta naangua kicheko kwenye hii komentiAsante mkuu kwa kutupa maelezo ya drama maana unatusaidia before hata hatujaenda kucheki maana bando lishageuka la budget. By the way binafsi sijavutika na hii ulioeleza cos sijaona uspecial wake au vitu vya ziada zakunivutia niangalie, story ya kawaida haina ubunifu wowote mf drama kama Innocent defendant unaona kabisa ina matumizi ya akili, haitabiliki na story yake imesukwa vizuri na ina hamshamsha sasa hiyo imepoa Sana. Mfano mwingine dangerous wife ni ya mapenzi lakini ndani kuna matukio ambayo yanakufanya ikusisimue kuiangalia zaidi mimi ndio napenda drama za namna hii. Nimekuandakia hivyo sio kwamba naponda taste zako za drama au siheshimu lahasha bali ujue nini napenda ili ukitokea nahitaji drama uwe unajua Nini napenda
Asante mkuu kwa kutupa maelezo ya drama maana unatusaidia before hata hatujaenda kucheki maana bando lishageuka la budget. By the way binafsi sijavutika na hii ulioeleza cos sijaona uspecial wake au vitu vya ziada zakunivutia niangalie, story ya kawaida haina ubunifu wowote mf drama kama Innocent defendant unaona kabisa ina matumizi ya akili, haitabiliki na story yake imesukwa vizuri na ina hamshamsha sasa hiyo imepoa Sana. Mfano mwingine dangerous wife ni ya mapenzi lakini ndani kuna matukio ambayo yanakufanya ikusisimue kuiangalia zaidi mimi ndio napenda drama za namna hii. Nimekuandakia hivyo sio kwamba naponda taste zako za drama au siheshimu lahasha bali ujue nini napenda ili ukitokea nahitaji drama uwe unajua Nini napenda
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hiyo defendant tunakoma mbonaInno una kiherehere balaa. Ungekausha tu na defendant yako
Tamu sana hio. Napenda drama zinazohusu maisha ya mastaa na behind the scene zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787] yaani hiyo defendant tunakoma mbona
Ahsante sana kwa kurecommend Behind every star. Hivi ndio vitu napendaga mimi bwana yaani naenjoy balaa hapa nipo episode ya nane na sitamani iishe[emoji1787]
Halafu ulisema romance hujaipenda mbona mimi nimewaelewa sana yule dada mcharuko na yule babe wake mtumishi wa uma [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tamu sana hio. Napenda drama zinazohusu maisha ya mastaa na behind the scene zao
Nilijua tu lazima Innocent Defendant itajwe kwa kuwa ina jina la mwanzo kama lako[emoji23][emoji23]Asante mkuu kwa kutupa maelezo ya drama maana unatusaidia before hata hatujaenda kucheki maana bando lishageuka la budget. By the way binafsi sijavutika na hii ulioeleza cos sijaona uspecial wake au vitu vya ziada zakunivutia niangalie, story ya kawaida haina ubunifu wowote mf drama kama Innocent defendant unaona kabisa ina matumizi ya akili, haitabiliki na story yake imesukwa vizuri na ina hamshamsha sasa hiyo imepoa Sana. Mfano mwingine dangerous wife ni ya mapenzi lakini ndani kuna matukio ambayo yanakufanya ikusisimue kuiangalia zaidi mimi ndio napenda drama za namna hii. Nimekuandakia hivyo sio kwamba naponda taste zako za drama au siheshimu lahasha bali ujue nini napenda ili ukitokea nahitaji drama uwe unajua Nini napenda
Sidhani kama kuna member makini wa hili jukwaa hajui kama huyu jamaa anaipenda Innocent dependant, yupo kweli?[emoji28][emoji1]Asante mkuu kwa kutupa maelezo ya drama maana unatusaidia before hata hatujaenda kucheki maana bando lishageuka la budget. By the way binafsi sijavutika na hii ulioeleza cos sijaona uspecial wake au vitu vya ziada zakunivutia niangalie, story ya kawaida haina ubunifu wowote mf drama kama Innocent defendant unaona kabisa ina matumizi ya akili, haitabiliki na story yake imesukwa vizuri na ina hamshamsha sasa hiyo imepoa Sana. Mfano mwingine dangerous wife ni ya mapenzi lakini ndani kuna matukio ambayo yanakufanya ikusisimue kuiangalia zaidi mimi ndio napenda drama za namna hii. Nimekuandakia hivyo sio kwamba naponda taste zako za drama au siheshimu lahasha bali ujue nini napenda ili ukitokea nahitaji drama uwe unajua Nini napenda
umeisoma hii sentensi yangu na kuielewa?Imenivutia na kuipenda.
ni nafsi yako pekee ndio inayofahamu whether ulikuwa serious au kwenye hali ya utani mpaka ukaandika hicho ulichokiandika. Naamini umekulia katika familia yenye malezi bora, ikiwa ni kinyume chake basi jitahidi usiukimbilie upoyoyo kwa kujikosesha akhlaq, heshima na insaf ya mjadala.nahitaji drama uwe unajua Nini napenda
Halafu ulisema romance hujaipenda mbona mimi nimewaelewa sana yule dada mcharuko na yule babe wake mtumishi wa uma [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hii vita ya "taste" ni kali mno π€£π€£π€£π€£π€£πππππgazeti la poyoyoπππππππ€£π€£π€£π€£π€£
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kulielewa inabidi uwe na undugu na Shaban Robert[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]gazeti la poyoyo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] noma sana ila bwana wengine wamezidi yaani mtu anataka kila drama ifanane na innocent defendantHii vita ya "taste" ni kali mno [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
haijawahi kumuacha mtu salama na watu wanavojua kupiga spana yani drama uliyoikubali unaweza kuta mtu anainanga hatari. Sema ndio vile taste zetu haziwezi kufanana inabidi tuvumilianae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] hayupoSidhani kama kuna member makini wa hili jukwaa hajui kama huyu jamaa anaipenda Innocent dependant, yupo kweli?[emoji28][emoji1]
Huwa unanifurahisha sana mkuu.
Hii vita ya "taste" ni kali mno π€£π€£π€£
haijawahi kumuacha mtu salama na watu wanavojua kupiga spana yani drama uliyoikubali unaweza kuta mtu anainanga hatari. Sema ndio vile taste zetu haziwezi kufanana inabidi tuvumilianae
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kulielewa inabidi uwe na undugu na Shaban Robert
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Sijui kwa nini nimejikuta naangua kicheko kwenye hii komenti