Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hatimaye nimeimaliza Alchemy of souls

Happy ending hasa naksu/buyeong na jang uk

Love story kali

naksu wa season tuu alivaa uhusika wake kweli kweli kama wa season 1
[emoji106]

Ngoja niianze hii leo usiku, nilikuwa nasubiri iishe yote.
 
Alchemy of souls season 1full ina epsode 20 za 1hr each
Season 2 ndo ina malizika jpili ina epsod 10

Huu mzigo sio wa kukosa una story nzuri na action za kutosha View attachment 2470536View attachment 2470537
Naiona inakimbiza sana mjini mimi sina mzuka nayo kabisa ,kama ilivyokuwa Squid game sijawahi kuiona japo ni maarufu sana .Series ikiwa inatrend sana mara nyingi nakosa vibe ya kuingalia.
 
Naiona inakimbiza sana mjini mimi sina mzuka nayo kabisa ,kama ilivyokuwa Squid game sijawahi kuiona japo ni maarufu sana .Series ikiwa inatrend sana mara nyingi nakosa vibe ya kuingalia.
Sema hiyo ni kali sana ila ungeiangalia ikiwa ongoing tangu inaanza season 1 ngeona utamu wake
 
Kama bado hujaangalia ipo nyingine tamu inaitwa mr queen. Episode ya kwanza hautaipenda sana ila zinazofatia ni fireeee
Whoever recommended Under queen's umbrella stay blessed nlikua naionea uvivu since I am never interested na historical drama ila hii 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
 
Kama bado hujaangalia ipo nyingine tamu inaitwa mr queen. Episode ya kwanza hautaipenda sana ila zinazofatia ni fireeee
[emoji1787][emoji1787] episode ya kwanza tena labda uwe sio mpenzi wa comedy kama mwafulani..mimi nilianzia kucheka episode ya kwanza pale alipoenda kutumbukia kwenye bwawa kumbe halina maji halafu alipokutana na king kwa mara ya kwanza
King : A wife should obey her husband (akaingizia na mambo ya ying na yang sikuelewa)
Queen : Is this a joseon dynasty or what
King: (Kwa mshangao ) It is!
Queen : Then you must think you are the king or something [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Nilianza kuipenda kwa queen kuwa kwenye uhalisia wa kiume. Nilimuonea huruma gumio wetu wa gu family book alipofanyiwa fitna hotelini mpaka kupata msala wa kujikuta joseon
 
Nilianza kuipenda kwa queen kuwa kwenye uhalisia wa kiume. Nilimuonea huruma gumio wetu wa gu family book alipofanyiwa fitna hotelini mpaka kupata msala wa kujikuta joseon
Yeah nilipenda zaidi alipokuwa anawaza kwa sauti ya kiume [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Wakuu nna shida japo hili sio jukwaa rasmi .

Simu yangu signal strength imekuwa weak sana hasa line ambayo nimewasha data yaani ile minara ya pale juu haisomi kabisa ikisogeza sana umesoma mnara mmoja kiasi kwamba internet inakuwa slow hadi Voda ambayo inakuwaga moto sana nayo inayumba sana now licha ya utaalamu wangu wa kuchezea simu hii kitu nimeshindwa kutatua kabisa.

Msaada kwa wataalamu wa hii kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…