Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Drama nyingi nilizomuona sio villain yupo peace sana hasa family drama

Nilichokipenda zaidi kwenye hii reality ni hao wageni waalikwa na vituko wanavyovikuta.
Hii picha sikumjua
Nimetizama ep ya kwanza

Anakuaga villain huyu mara nyingi.
 
Drama nyingi nilizomuona sio villain yupo peace sana hasa family drama

Nilichokipenda zaidi kwenye hii reality ni hao wageni waalikwa na vituko wanavyovikuta.

Anhaa
Hizi za ep 16 nimemuona za kiroho mbaya tu
Kuna ile drama na baby wa IU alikua lawyer na moja hivi ya jtbc yani kauzu.

Hahah kama huyo kwang hee

Sema Jessi [emoji1787]
 
Season two kuna idol mwingine wamemuwezea hadi akawa mwenyeji na kutamani ushindi 😂😂😂😂

Jessi kachangamka mpaka wadada wenzie wakaanza kuiga akili zake hasa mi joo
Anhaa
Hizi za ep 16 nimemuona za kiroho mbaya tu
Kuna ile drama na baby wa IU alikua lawyer na moja hivi ya jtbc yani kauzu.

Hahah kama huyo kwang hee

Sema Jessi [emoji1787]
 
Season two kuna idol mwingine wamemuwezea hadi akawa mwenyeji na kutamani ushindi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Jessi kachangamka mpaka wadada wenzie wakaanza kuiga akili zake hasa mi joo

Kweli maana Mi joo wa MBC award za mwaka jana kachangamka kumbe madhara ya ukarib na mcharuko [emoji1787]
 
Ndio ndioo
Yani alikua anampatia ML
Basi najisemea mbona ni genious hivi hadi anakera

Enzi hizo sielewi kama wanameza script[emoji16]
Kuna special appearance alifanya kwenye Doctors mule alikuwa anatia huruma alikuwa na wife wake mjamzito wakapata ajali siku ya ndoa halafu wife akawa mahututi na hawezi kufanyiwa surgery kwa sababu ya kiumbe tumboni ikabidi akiwa kwenye coma awekewe mashine ya kusapoti uhai ili kusogeza wiki mbele za mtoto kuzaliwa.

Unaweza ukalia scene zake zile
 
Fanboy please
Mbona nataka niitazame na hiyo[emoji3]
 
Naombeni love story nzuri angalizo isiwe ya kitoto, ina mazingira ya shule na mwisho kabisa isiwe imechezwa na teenager's
 
Naombeni love story nzuri angalizo isiwe ya kitoto, ina mazingira ya shule na mwisho kabisa isiwe imechezwa na teenager's
Love Story ya shule isiyochezwa na teenagers[emoji23][emoji23][emoji23]

Unataka kusema characters ni actors watu wazima hapo mtihani.

Not bad na mimi nasubiri mtu alete hiyo drama.

I think story kama hizo utazipata China ila utoto haukwepeki.
 
Mbona kuna kitu kama fates and furies ni Moja Kati ya love story nzuri na ya kikorea haina vitu ambavyo nisivyovipenda, kuna dangerous wife nayo ipo good Sana
 
Kuna moja hivi nimeona wamecheza jengua,asha boko,kingwendu,pembe na wengineo itafute inno itakufaa haina utoto😂😂😂 wamevaa sare za shule pia
Naombeni love story nzuri angalizo isiwe ya kitoto, ina mazingira ya shule na mwisho kabisa isiwe imechezwa na teenager's
Naombeni love story nzuri angalizo isiwe ya kitoto, ina mazingira ya shule na mwisho kabisa isiwe imechezwa na teenager's
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…