Gyeoul
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 3,758
- 5,365
Ilianza Vizuri Kiukweli Lakin Mwishon Nikaionaje Sijui Mapka Leo Sijaimalizia.nje ya korea ilikuwa ni maarufu sana lakini ndani ya korea haikupewa kipaombele kikubwa sana na watazamaji wa live...
nyakati zile ilikuwa inaonyeshwa pamoja na when the camellia blooms na secret boutique.